- Thread starter
- #81
Lissu:Kusamehewa bila kitubio ni Haiwezekani. Akiri kosa kwanza.Similarly, tuchukue nafasi hii kumsamehe MBOWE kwa kufanya maridhiano na tumpe nafasi ya kuongoza chama na nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu:Kusamehewa bila kitubio ni Haiwezekani. Akiri kosa kwanza.Similarly, tuchukue nafasi hii kumsamehe MBOWE kwa kufanya maridhiano na tumpe nafasi ya kuongoza chama na nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Dr Slaa angekuwa amemleta Lowassa CHADEMA angeweza vipi kukikimbia chama tena mbele ya waandishi wa habari?.Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta Lowwassa mwanzo mwisho kama katibu mkuu,
Alipoulizwa kwanini hakuondoka CHADEMA, amedai kuwa Hiyo ni dhambi na kukiri dhambi ni jambo la kheri.
Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Abarikiwe TUNDU Antipas Lissu.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.
Karibuni 🙏
Source: Mdahalo wa wagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, star Tv.
Si Kweli,Kumbe slaa mnafiki
Kisha akampokea kwa bashasha aliporejea nyumbani kwa mafisadi CCM.Magu aliishi kusikitika CHADEMA kumpokea fisadi Lowassa!
Alirudishwa kufichwa Ili kumuondoa kuuimarisha upinzaniKisha akampokea kwa bashasha aliporejea nyumbani kwa mafisadi CCM.
Porojo.Lissu: Mimi Nina kabba, na friji LANGU linagandisha, Kuna mambo nikiyasema hapa, watu watakimbia Nchi.
Maturity 💯Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta Lowwassa mwanzo mwisho kama katibu mkuu,
Alipoulizwa kwanini hakuondoka CHADEMA, amedai kuwa Hiyo ni dhambi na kukiri dhambi ni jambo la kheri.
Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Abarikiwe TUNDU Antipas Lissu.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.
Karibuni 🙏
Source: Mdahalo wa wagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, star Tv.
Maridhiano yalipitishwa na kamati kuu Lisu akiwemo, endeleeni kudanganywa na Lisu ukweli mtaujuwa baadaye ni swala la muda tu.Lissu:Kusamehewa bila kitubio ni Haiwezekani. Akiri kosa kwanza.
Wengine walioshiriki wamewahi kukiri?Pumbavu zake vyama vya siasa ,serikali na mahakama havina dini
Yaani miaka 10 toka amefanya huo ujinga hakuomba msamaha leo sababu anagombea ndio anajitia kuomba msamaha tena baada ya kuulizwa huyo tapeli mkubwa wa kisiasa
Awatapeli huko huko Chadema wasiojielewa
Chadema sio kanisa wala msikiti wa kuungama dhambi tapeli huyo
Asante mwandishi wa habari kumbana barabara
Ulizuka mzozo wa viongozi kuhoji kwanini Mbowe aende Ikulu bila kupata ridhaa ya chama?Maridhiano yalipitishwa na kamati kuu Lisu akiwemo, endeleeni kudanganywa na Lisu ukweli mtaujuwa baadaye ni swala la muda tu.
Mlimuona Lowassa mkosefu sana mpaka kumleta Chadema kuwe ni kosa?Kiukweli sasa,
Sina neno tena na TUNDU Lissu,
Nimemsamehe Bure, Abarikiwe!
Lowassa hakuwahi kukana Wala kukubali tuhuma za ufisadi, aliishia kusema, mwenye ushahidi aende mahakanani,Mlimuona Lowassa mkosefu sana mpaka kumleta Chadema kuwe ni kosa?
Msijipe mamlaka ya kuhukumu maana hata nyie mtahukumiwa.
Mbowe haitaji ridhaa ya chama kwenda ikulu, Tundu Lisu hakuomba ridhaa ya chama kukutana na Samia Belgium, Mbowe hakuomba ridhaa ya chama kukaa jela miezi minane.Ulizuka mzozo wa viongozi kuhoji kwanini Mbowe aende Ikulu bila kupata ridhaa ya chama?
Hapo ndipo tatizo lilipoanzia,
Mbowe kuridhiana na Samia hatua ya kwanza kabla ya chama kujulishwa
Kama nyie mnajiona hamna dhambi kama Lowassa (Rip) basi ni jambo jema.Lowassa hakuwahi kukana Wala kukubali tuhuma za ufisadi, aliishia kusema, mwenye ushahidi aende mahakanani,
Sasa ikiwa Lissu amekubali kuwa, kumleta Lowwassa CDM ilikuwa dhambi, sasa kati Yako wewe na Lissu, nani ana ushahidi juu ya usafi au uchafu wa Lowassa kumzidi mwingine?
Lissu kudai pesa za matibabu ni jambo linalohitaji ridhaa ya vikao vya chama?Mbowe haitaji ridhaa ya chama kwenda ikulu, Tundu Lisu hakuomba ridhaa ya chama kukutana na Samia Belgium, Mbowe hakuomba ridhaa ya chama kukaa jela miezi minane.
Acheni ukasuku, by the way Bawacha matokeo vipi? Naona kimya JF hakuna updates zozote.
Hakuna jina jingine zaidi ya hilo.Mwenyekiti wako wa chama Si HAKI kumwita tapeli
Lissu ndiye aliyekuwa akimshambulia Lowassa kuwa ni fisadi na alidai kuwa na ushahidi.Kama nyie mnajiona hamna dhambi kama Lowassa (Rip) basi ni jambo jema.
Baada ya miaka 10 kupita???Hellow Tanganyika!!