Pre GE2025 Tundu Lissu: Ninakiri juu ya Dhambi ya kumleta Lowassa CHADEMA. Watanzania tumekusamehe, ubarikiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nitajieni mwanasiasa mwingine ambaye amewahi kukiri makosa na kuomba radhi, sijui mtu anapata wapi nguvu ya kupingana na Lissu.
Amenyooka mno.
Una zawadi yako wewe dada wa maana😘
 
Mkimbia midahalo hafai kuongoza chama Cha DEMOKRASIA na maendeleo.
 
Mkimbia midahalo hafai kuongoza chama Cha DEMOKRASIA na maendeleo.
Hafai hata kidogo, kwa hilo Mbowe hawezi kutetewa, nadhani amechoka. Japo binafsi Lissu sioni akiwa kiongozi mzuri.
 
Aibu sana mtu timamu kuendelea kumtaja Lowassa negatively!!
Mtu alofanya meeengi ya HESHMA nchini,Ccm na Chadema akasababisha chama kupaa Leo mapumbafu yanamuongelea kimaandazi maandazi mxhyii!!!
 

Chadema walifanya kosa kubwa sana kuchukua na kumsimamisha Lowasa kama mgombea wao. Hizo kura wnazodai aliwaletea mimi sikubaliani nao. Slaa alikuwa na uwezo wa kupata hizo kura na Chadema ingeendelea kuwa imara zaidi.
 
Lissu hajawahi kuwa kiongozi wa Taasisi yoyote ile apart ya ofisi ya uwakil wale. Hana uwezo wala kipaji cha uongozi.

Uongozi ni karama, kipaji na busara. Vyote hivi hana.
 
Huenda slaa alikubali lowasa aje ila sasa kupewa agombee uraisi akaona sio kweli sasa cha kujiuliza alijua wanamleta lowasa kuwa mwanachama tu ??
 
Karibu CHADEMA Dr Slaa,

Hongera Kwa kutoshiriki dhambi Ile ya kumsafisha mtu yule.
 
Karibu CHADEMA Dr Slaa,

Hongera Kwa kutoshiriki dhambi Ile ya kumsafisha mtu yule.
Japo alikuwa chawa wa Jiwe kipindi ambacho wanamageuzi waliteswa, walitekwa na waliuawa systematically, kama ambavyo mikono ya Jiwe imejaa damu za watu na huyo chawa wake hawezi kukwepa dhambi hiyo. Usaliti alioufanya katika ya mapambano na kumlamba miguu Mwendakuzimu na kuwa chawa mwandamizi kwa kuisagia kunguni CHADEMA, it's very strange how fast people can forget disastrous double crossing. No wonder they say that hypocrisy is a norm in politics.
 
Kwamba pesa za Lowassa zenyewe hazikutokana na usaliti na wizi wa Kodi za wananchi kimfumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…