Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Lissu alifungwa lini na alifungwa miaka mingapi? Na Je kwa sab magufuli hakupinga siku za nyuma kwa sab yoyote ile hatakiwi kupinga leo?
 
Mtalipishwa sana tena sana mpaka mtaona aibu haiwezekani hii nchi ikawa inaendeshwa kwa mikurupuko. Sheria inasema nini kuhusu hiyo mikataba? Unafikiri hayo madini ni yetu? Hata ukiambiwa yapo gram ngapi unafikiri yatabaki hapa bongo?
Mkataba hausemi kila kitu kwenye mchanga ni chao bali tugawane kwa kiwango Fulani tatizo ni kiwango kilichopo ni kingi kuliko kinachokuwa declared. Huu ni udhaifu zaidi upande wa serikali ndio maana wanawajibishwa.
 
Ukisoma vizuri hakuna anayepinga mikataba nayo ni mibovu hata magufuli ameongea mara nyingi kuhusu ubovu wa mikataba. Kikubwa anachopingwa lissu ni kusema tatizo sio kuibiwa kwenye makini kia bali ni mikataba pekee alitakiwa apongeze hatua zinazoanza kuchukulia na kushauri mikataba nayo isiachwe.
 
Ushauri unatolewa jf?
 
Hopefully wewe ni bora mkweli mtaalam kuliko tume. Congrats!
 
Kwahiyo kama tulikaa kimya kwa sab yoyote ile hatustahili kuamka?
 
Hawa akina malisa, TL, et al wana matatizo. Hii kamati ilionyesha kuna nini. Kamati inayosubiriwa ripoti itaeleza pamoja na mambo mengine Kiwanja sheria hii kitu imekaaje na nini kifanyike! Sasa haraka ya nini? Prof Mruma ni scientist tu si mchumi au Mwanasheria.
 

..binafsi nimesikitika jinsi yule former PS alivyodhalilishwa.

..kwa kweli haipendezi kabisa mzee yule kuambiwa majibu aliyotoa ni "unyama wa ajabu" na stupid answer.

..na maneno hayo yanasemwa live on national TV.

cc Nguruvi3
 
Mkataba umeshasainiwa for hundred yrs hawezi kubadilisha leo ikasaidia bali ni bora kwa mkataba huo huo mbovu basi utekelezwe kikamilifu bila cheating.
 
Tafiti hupingwa kwa tafiti siyo maneno ya kijiweni! Unafahamu maana ya neno rubbish? Hizi ni taaluma tijaribu kuziheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…