ukitaka kujua
Tundu Lissu ni tahira hebu angalia anacho kiongea na sisi tunacho kiongea ni tofauti.
Yeye anafikiri watu wengi wana kataa kusafirishwa kwa mchnaga kumbe kikubwa kinachopingwa ni udanganyifu kwenye kilichomo kwenye mchanga... yeye alishawai kusema mikataba hii ni ya usiri sasa anaongelea nini kitu ambacho hajawai kukiona? hivi hiyo mikataba ndio inasema kuwa wawe wanadanganya kuna kiasi fulani cha dhahabu?
Hivi
Tundu Lissu utahira atapona lini? Hata ACCACIA wanajua concern ya serikali ni kuhusu kiasi kilichomo kwenye mchanga au makanika na wao wanataka upimwe tena...
Lakini Tahira Lissu anapinga utafiti kwa tumbo na mdomo tuuu...
Mwenzie Zitto amenyamaza na kusema wazi kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti..