pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 368
- 169
Slow down, slow down I am in hurry.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhongo anadhalilishwa sana nchi hiiHuyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Kweli majuha wangi wengi. Tunakusubiri uje utujibu hapa hapa muda c mrefu. Ucje ukakimbia kwasababu nyie wanaccm akili hakuna kabisahuyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Magufuli akishirikiana na mkapa na wabunge wengine wa ccm walipitisha mikataba ya kinyonyaji. Leo anaibuka na kusema tunaibiwa wakati alishiriki kuchora ramani ya wizi wote huu.
Tulishauzwa jamani na hawa maccmSasa kwa taarifa yako wewe mpuuzi kuna kipengele kwenye mkataba kinachosema kuwa kinachochimbwa chote ni mali ya mwekezaji na sisi tutaambulia mrabaha ambao kila mwisho wa mwaka mnapeleka wakaguzi. Pia kumbuka kuwa kule ndani ya migodi mna maagent kibao mlioweka huko.
Ule mkataba aliosaini mkuu wako wa miaka 100 ndiyo chanzo cha tatizo.
Ccm bana kwa hiyo tundu lisu akikuwa wanafanya kazi serekalini?au alipiga kura ya ndio bungeni?huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Kinachofurahisha na Kuvutia unamsikiliza na kuzisoma kwa umakini.NAMSHUKURU MUNGU SIJAWAHI KUMUAMINI TUNDULISUUU. NA HUWA SIPENDI SPEECH YAKE. NA KWA HILO NINAAMANIII
Tundu Lisu kaenda Shuleni kujifunza kiingereza na kuongezea muda aliokaa Uingereza kajua kiingereza basi, lkn Kichwani ni Zero, jamaa ni mtupu hadi huruma, eti kapigania hii nchi ana akili ndogo kama Nape, wewe Tundu lisu upiganie hii Nchi?? Hata kwenu Singida kwenyewe hawakutaki unapita kwa shida halafu unasema umeipigania hii nchi? Labda umempigania Fisadi Mwenzako lowasa!
Kaka Rutta, je tuendekeze siasa hata kwenye ukweli hadi lini?huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Huo ndiyo ukweli kiufupi ni wanafiki wakubwa maana walikuwa bungeni wakipitisha sheria za madini kwa kupiga makofi na vigeregereHilo lipo wazi kwa wafuatiliaji......nakumbuka jamaa alivyokuwa anapewa ulinzi na wananchi badala ya polisi wakati anapambana na hawa wazungu..........Zitto Kabwe alitimuliwa Bungeni kisa ishu ya madini......wakati haya yanatendeka ni kweli wanaofoka Leo walikuwa bungeni wakishabikia kumsulubu Zitto.
Nyabhingi, kama nilivyosema kwenye moja a posts zangu kwenye uzi mmoja unaohusu haya mambo ambayo ndiyo talk of the town kwa sasa, bado nashangaa wasomi wote waliokuwa kwenye tume na wengineo kushindwa kuichambua ripoti ile kwa weledi mpaka sasa. Yani mjadala sasa sio tena kama tunibiwa au la...bali figures za ripoti kuwa so exorbitant kiasi cha kudefy common sense. Why jamani? Why?"Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered".
wazungu walijaribu kupunguza makali wakasema hivi:
If the amount of gold in our concentrates was in line with the Committee findings, then it implies that both Bulyanhulu and Buzwagi would produce more gold than any other mine in the world. Sadly this is not the case.
Tofauti yako na TL, na ambayo ni ya msingi sana hapa, ni kwamba wakati TL anajadili kitu anachokifahamu ndani na nje, wewe unajadili bila facts zozote za maana zaidi ya ukereketwa, basi!ukitaka kujua Tundu Lissu ni tahira hebu angalia anacho kiongea na sisi tunacho kiongea ni tofauti.
Yeye anafikiri watu wengi wana kataa kusafirishwa kwa mchnaga kumbe kikubwa kinachopingwa ni udanganyifu kwenye kilichomo kwenye mchanga... yeye alishawai kusema mikataba hii ni ya usiri sasa anaongelea nini kitu ambacho hajawai kukiona? hivi hiyo mikataba ndio inasema kuwa wawe wanadanganya kuna kiasi fulani cha dhahabu?
Hivi Tundu Lissu utahira atapona lini? Hata ACCACIA wanajua concern ya serikali ni kuhusu kiasi kilichomo kwenye mchanga au makanika na wao wanataka upimwe tena...
Lakini Tahira Lissu anapinga utafiti kwa tumbo na mdomo tuuu...
Mwenzie Zitto amenyamaza na kusema wazi kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti..
Well said. Tujipange, ushabiki wa kimaimuna hautatusaidia.![]()
Na mimi ni Mtanzania pia.
Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.
Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.
Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.
Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.
Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.
Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.
Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.
Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.
Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.
Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.
Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.
Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.
Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.
Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.
Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.
Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.
Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.
Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.
Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.
Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.
Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Tatizo hajitambui na elimu hana huyo mnyarwandaWe Mhaya hopeless and useless, stop ad homine arguments, stop arguing by character assassination. ametoa hoja jibu hoja. Matusi hayajibu hoja! Utaahira unatoka wapi?
Jiongeze kiakili. Hili ni suala zito. Kama huna uwezo wa kuchambua kaa kimya.Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Hapo hawamwelewi si unajua weng wao n kina bashiteKiongozi unaua punguza ukali wa maneno.