Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Lissu is a classic example of a loose cannon. Watu kama Lissu ni wazuri sana kuongea lakini ukimkabidhi zizi mifugo yote itakufa kwa funza. He will do nothing apart from lecturing the planet earth. No wonder baada ya miaka 8 alikuwa matapishi, shamelessly.
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Mungu ambariki mh Lissu yaani nawaonea wanachi wa jimbo lake la uchaguzi bunge
Na mimi ni Mtanzania pia.
Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.
Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.
Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.
Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.
Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.
Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.
Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.
Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.
Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.
Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.
Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.
Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.
Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.
Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.
Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.
Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.
Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.
Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.
Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.
Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.
Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Mdanganywa miaka 17 ama kweli wewe zumbukuku Mzungu wa relihuyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Tushazoea kulipishwa faini na fidia kama ile ya samakiHuyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Magufuli anatuzuga tu. Hata Muhongo kamuonea. Nasiyejua maCcm yanavyo pitisha sheria mbovu mbovu. Magufuli mwenyewe aliitikia ndiyooooo back then Muhongo hakuwapo. Ma CCM wengi pamoja na vibaraka wao mitandaoni ni wahujumu uchumi shenz zenuukitaka kujua Tundu Lissu ni tahira hebu angalia anacho kiongea na sisi tunacho kiongea ni tofauti.
Yeye anafikiri watu wengi wana kataa kusafirishwa kwa mchnaga kumbe kikubwa kinachopingwa ni udanganyifu kwenye kilichomo kwenye mchanga... yeye alishawai kusema mikataba hii ni ya usiri sasa anaongelea nini kitu ambacho hajawai kukiona? hivi hiyo mikataba ndio inasema kuwa wawe wanadanganya kuna kiasi fulani cha dhahabu?
Hivi Tundu Lissu utahira atapona lini? Hata ACCACIA wanajua concern ya serikali ni kuhusu kiasi kilichomo kwenye mchanga au makanika na wao wanataka upimwe tena...
Lakini Tahira Lissu anapinga utafiti kwa tumbo na mdomo tuuu...
Mwenzie Zitto amenyamaza na kusema wazi kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti..
Hivi mnapomtukana Lisu mnaona hiyo mikataba ya madini ni sawa? Kama leo wewe una shamba lako halafu akaja mtu akakwambia amegundua shambani kwako kuna dhahabu na atakusaidia kuichimba lakini katika dhahabu atakayouza atakupa wewe mwenye shamba lenye dhahabu shilingi ELFU NNE TU katika kila shilingi LAKI MOJA utakubali? Mnaona ni sawa hawa wawekezaji wa madini watulipe kiasi kidogo hivyo?
Hao wote ni vilaza tupu na naamini alipo mh Lissu hata hawawezi kuruhusiwa kukaribiaTrol JF njoo, Lizaboni njoo, cocochanel njo, & Co. Ltd.
Tundu lissu ni muongo na mnafiki, aliwahi kusema mikataba ya madini ni siri, sasa leo anasema nini?? na wakati mikataba inasainiwa Fedrick sumae ndo alikuwa waziri mkuuu, Lissu mnafiki atuliye aone CCM chama makini kinavyo jipanga kuondoa makapi na wanafiki, mmempa heche sumu kisa anawapondaWe ng'ombe ccm ipo madarakani kufanya nn? Kwa nn hamumshitaki? Mafisadi waliotajwa ni 11 hao kumi wako wapi mbwa nyie wafisidi wa raslimari za Tz.......Kazi yenu kutengeneza matatizo alafu mnajifanya mnayatatua baadae baada ya kujaza mitumbo yenu
Vipi Kuhusu Baba yako aliyepo Koromije hukoLissu is a classic example of a loose cannon. Watu kama Lissu ni wazuri sana kuongea lakini ukimkabidhi zizi mifugo yote itakufa kwa funza. He will do nothing apart from lecturing the planet earth. No wonder baada ya miaka 8 alikuwa matapishi, shamelessly.
Wana kikimbia kivuli chao sasaYale makontena aliyozuia pale bandarini atayaachia na mbaya zaidi atalipia fidia kwa fedha za walipa kodi ambao wana lundo la makodi. Tutaacha kusonga mbele na kujikuta tunarudi nyuma kulipia nothing. Huu ni ukweli japo ni mchungu sana! Uzalendo wa kweli kamwe hauambatani na faraja ya muda mfupi inayozaa msiba baadaye.
Nasisitiza kuwa tunaibiwa kwenye mikataba yetu tuliyosainiwa na miccm. Huko kwingine Magufuli anapiga tu maneno.
Na mimi ni Mtanzania pia.
Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.
Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.
Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.
Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.
Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.
Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.
Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.
Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.
Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.
Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.
Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.
Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.
Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.
Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.
Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.
Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.
Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.
Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.
Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.
Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.
Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Lissu ni chaguo la munguMwanahabari, tunaomba clip please
Wachumia tumbo ni maccmLissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Hivi kati yako na lisu nani taahira. Lisu ana recorɗ za kutetea rasilimali za nchi hii ɗr. Wako anayo.ukitaka kujua Tundu Lissu ni tahira hebu angalia anacho kiongea na sisi tunacho kiongea ni tofauti.
Yeye anafikiri watu wengi wana kataa kusafirishwa kwa mchnaga kumbe kikubwa kinachopingwa ni udanganyifu kwenye kilichomo kwenye mchanga... yeye alishawai kusema mikataba hii ni ya usiri sasa anaongelea nini kitu ambacho hajawai kukiona? hivi hiyo mikataba ndio inasema kuwa wawe wanadanganya kuna kiasi fulani cha dhahabu?
Hivi Tundu Lissu utahira atapona lini? Hata ACCACIA wanajua concern ya serikali ni kuhusu kiasi kilichomo kwenye mchanga au makanika na wao wanataka upimwe tena...
Lakini Tahira Lissu anapinga utafiti kwa tumbo na mdomo tuuu...
Mwenzie Zitto amenyamaza na kusema wazi kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti..
Mjiandae kuwalipa fidia hao ACACCIANajiuliza sana swali dogo tu kila nikiona post ya Lisu kiufupi nasubiri apost kuwa amepima yeye au kashuhudia upimaji wa huo mchanga na kajiridhisha kuwa hatuibiwi,nitamuelewa sana,tofauti na hapo aendelee kusoma takwimu na historia kwenye makaratasi hadi pale atakapo ikomboa nchi kwa takwimu na sheria