Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Husiwe kama "hashiki za kuku".
Muda wote wa miaka takribani 16 mlikuwa wapi kulipigia kelele hilo kabla ya huyo "mchizi kaboka" kudamka kumeisha pambazuka?
Kwahiyo kipindi chote hicho ni nini kiliwaziba midomo na vipumulio vyenu leo ndio mnajidai kujua zaidi clause za mikataba ya wizi?
 
ccm ndo walivyo, hata wanaloshangilia leo hawalijui. Magufuli kwa sasa ndo kipaumbele chao hivyo hata akiamuru lunch iliwe uani wao watashangilia tu. Na wengine watasema kuna harufu nzuri.
Maccm wanatia aibu mbele za macho ya matifa ya nje
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
sidhan kama kosa moja linaweza kuziba mema yote aliyojaribu kufanya kutetea maslah ya taifa. tukienda hivi bas hakutakuwa na msafi nchi hii..maana hata hawa walioko madarakan ni wachafu kuzidi.
 
Wewe kwa Lissu hata sifa ya kuwa mfagizi wa nyumbani kwake huna
 
Lakini kingwangala ameshawaambia kuwa lieu ni mteja wake na anaumwa uchizi. Hivi wakati watanzania wote wapo na jpm yeye anaona chadema itapotea kabisa bora aje na ngonjera zake. We lieu fara na bwege kabisa huna akili una akili za chooni
 
Wakati Lissu akipambana serikali isisaini mikataba ya kinyonyaji,Magufuli alikuepo Bungeni akipitisha sheria za kinyonyaji na za kuibia taifa.
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Uzuri Katika hawamu hii mengi aliyokwisha kuyanena Lissu yanatimia kwa vitendo.
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Huyu Lissu ambaye alimtukana baba wa taifa. Lissu hakubali kuona wenzake wanakuwa recognised wakati yeye yupo. Anataka amfunike hata baba wa taifa...

Wakati huohuo anamsafisha Luwasa. Huyu ndie Lisu ambaye anatuaminisha kuwa alichofanya Magufuli na kamati yake ni rubbish.

Anasahau kuwa Rais kaunda tume nyingine ya sheria ambayo itakuja na mapendekezo ya kisheria kuhusu jambo hili. Kama zipo wekanesses kwenye sheria watasema na watatoa wayforward.

Sasa Lisu ndo anajiona anazo akili kuliko sisi watanzania wote. Hivi hata kama mikataba ipo...maana tayari ipo tufanyeje....tuache wakati tunaona wanatuibia????

Lissu ningekuwa mimi ndo JPM ningekupiga exile...
 
Muwe mnasoma na kuelewa, lakini Lissu amewatakia heri kama hamtaki kuelewa:

1. Anawaambia nyinyi MaCCM mabashite...nchi hii hatuibiwi kwenye mchanga, tunaibiwa kwenye sheria...so cha kuanza nacho ilikuwa ni kubadili sheria siyo kukamata mchanga ambao umepitia hatua zote kusafirishwa...Lissu anasema a smart president angeanza na sheria

2. Pia ACACIA katika taarifa zao wanasema kama kiasi cha dhahabu kilichokamatwa ni kingi kama Magu alivyoitangazia dunia basi ina maana migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi( hiyo miwili tu) ingeifanya kampuni ya ACACIA kuwa the biggest gold producer in the world kuliko kampuni kama AngloGold inayomiliki migodi 19 ya dhahabu duniani...na basi Tanzania ingekuwa the largest gold producer in the world...sasa kinachotokea wameomba wapatiwe report hiyo lkn serikali na Sizonje wameingia mitini

3. Lissu anasema report ya Profesa Mruma ni pumba tupu na haiwezi kuchukua hata nusu saa kuwa rubbished under serious scrutiny...and he is right; tayari taarifa chache tu za ACACIA kwa wanahisa wao zinaonekana zina credibility kuliko huu circus ya Sizonje na wale waalimu wake wasahihishaji wa mitihani ya wanafunzi pale Mlimani.

MUDA NI MWALIMU MZURI SANA...MSIJE MKAKIMBIA NA TAFUTENI DAWA YA MARADHI YA MOYO MMPE SIZONJE MAANA...what I see, he is heading for a car crush....ANYWAY, sikio la kufa halisikii dawa!
 
[emoji1] [emoji1] nimechoka sana
 
We ng'ombe ccm ipo madarakani kufanya nn? Kwa nn hamumshitaki? Mafisadi waliotajwa ni 11 hao kumi wako wapi mbwa nyie wafisidi wa raslimari za Tz.......Kazi yenu kutengeneza matatizo alafu mnajifanya mnayatatua baadae baada ya kujaza mitumbo yenu
Kamwe ccm hawana wema na nchi hii
 
Magufuli akishirikiana na mkapa na wabunge wengine wa ccm walipitisha mikataba ya kinyonyaji. Leo anaibuka na kusema tunaibiwa wakati alishiriki kuchora ramani ya wizi wote huu.
Katika Orodha hiyo chonde Usiwasahau Mzee Lowassa na Sumaye hawa Mawaziri Wakuu wastaafu nao wameshiriki kikamilifu katika dhambi hizo zote.

Pamoja ya kuwa Wapo Upande huu mwingine lakini bado wana deni kwa Taifa letu, laana zote nao hazitawaacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…