Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo amesema vyema![]()
Na mimi ni Mtanzania pia.
Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.
Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.
Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.
Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.
Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.
Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.
Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.
Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.
Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.
Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.
Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.
Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.
Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.
Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.
Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.
Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.
Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.
Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.
Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.
Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.
Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Kwani rais angependa kushirikiana na Lisu?KWA NINI TUSIELEWE?
MFANYABIASHARA ANAPAKIA BANGI KUPELEKA INCHI JIRANI KWA KUCHANGANYA NA PUMBA YA MAHINDI.
BANGI INASAFIRISWA KWA JINA LA PUMBA.
TUJIRIDHISHE KWANZA, JE DHAHABU ILYOKO KWENYE MCHANGA NI NYINGI KULIKO TULIVYOKUBALIANA KWENYE MKATABA?
HAKUNA WIZI MDOGO, WIZI NI WIZI TU.
TUANZE NA WIZI MDOGO THEN TWENDE KWENYE ULE MKUBWA.
LISSU SHIRIKIANA NA RAIS KATIKA HILI KWA SABABU UMULIPIGANIA MUDA MREFU NA SASA AMEKUJA MTU AMBAYE ANATAKA KUFANYA ULIYOKUWA UNATAKA.
UKIMTUHUMU HATAKUBALI KUSHIRIKIANA NA WEWE HATA KAMA UNA UWEZO KIASI GANI.
ACHA RAIS ASHUNG'ULIKIE HILI SWALA KISIASA, KIUCHUMI, KISHERIA, KISAYANSI, KIDINI NA HATA KWA KUTUMIA NGUVU INGINE YEYOTE INAOKUBALIKA NA MUNGU AU ISIYOKUBALIKA ILI MRADI SISI TUSHINDE.
TUSIGOMBANIE SILAHA WAKATI TUNAPIGANA VITA MOJA.
CHADEMA WAJUE KAMA SI WAO KUMCHAFUA LOWASSA, LOWASA ANGEKUA RAIS WA INCHI HII KUPITIA CCM.
KWA MAANA HIYO NA KWA WATU WACHAMBUZI WA MAMBO, RAIS WA SASA YUKO MADARAKANI KWA MSAADA MKUBWA TOKA CHADEMA.
LEO LOWASA ANGEKUWA RAIS WA INCHI HII KUPITIA CCM MNGEMPIGIA KELELE ZAIDI NA ANGEWATANDIKA NAKUWAWEKA NDANI BILA HURUMA.
Utadhuiaje madhara wakati ulikuwa na utashi na akili kipindi unaridhia miswaada mibovu na kandamizi ya madini ipite,afadhari angeonekana wa maana kama kipindi hicho alikuwa anapinga tungemsifia kwa hilo leo hi unasimamisha bodi nzima wakati baba yao Mkapa unamuacha kisa tu anakinga ya raisAjue asijue kwahiyo aache tu madhara yaendelee?
I will add him on the listUmemsahau jingalao kwenye hii list
![]()
Na mimi ni Mtanzania pia.
Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.
Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.
Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.
Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.
Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.
Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.
Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.
Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.
Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.
Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.
Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.
Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.
Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.
Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.
Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.
Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.
Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.
Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.
Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.
Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.
Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Uko vizuri sana ndugu . . [emoji106] [emoji106]kama kweli watanzania wana uchungu na nchi hii waseme ukweli haya yote yanayotendeka yanafanyika katika utawala wa chama gani? na je?hakunawatu walikuwa wanalalamikia haya?tukibaki kujipendekeza kwa watu walioko madarakani tutazidi kuibiwa. ukwaeli ni kwamba yote haya yamefanyika chini ya utawala wa ccm hivyo bila kuwa wakweli wa kuwaondoa ccm madarakani tukubali kila mtu aishi kwa ujaja wake
Nshozi . . ,Swadakta kama ile mikataba 17 ya wachina iliyosainiwa kwa nusu saa
Nani kakwambia siasa ni uadui?kila kiongozi anaweza kubadili tabia kama amekusudiaKama ni kweli Lisu mkweli, angepingana na chama chake ujio wa Lowasa CHADEMA kwa sababu ni yeye aliyekuja na list of shame. Sasa swali kwake ni kitu gani kilichomfanya amkubali Lowasa wakati kwa miaka nane anamwimba kuwa fisadi. Hii inadhihirisha kuwa watanzania ni vigeugeu, Lisu anajua kwa nini alimkubali Lowasa kwa sababu pesa yake tu na si vinginevyo na nina imani hata leo Rais akimteua kwa mwanasheria Mkuu wa serikali hatakataa kabisa na atawageuka wenzake.
ushauri hauna mahala maalumu, ni kama Malaya, ushauri hutolewa sehemu yeyote ile, haijalishi hata kama ni jfUshauri unatolewa jf?
Binafs nilimjua Lissu kutokana na hizi mambo za madini.Alikua akialikwa sana na Masako kwenye kipindi cha Kipima Joto na alikua akienda pale anaenda kama mtetez wa mazingira hasa huko migodini.Miaka hiyooooHuyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Na sasa wako wapi? Walishasema km MNA mashtaka nendeni mahakamani,mbona bado mnajizungusha?Sumaye na lowassa walikuwa wapi?
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Hahahaaa eti adai chakeKweli kabisa ulichoongea. Hata mi uzalendo wake siuoni maana Lowassa ndo mwenye Acacia na ndo anayewaibia dhahabu na kusafirisha mchanga.
Kwa akili hii usipochukua nafasi ya Muhongo, utakuwa umeonewa na udai haki yako.