Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
Nyie wenyewe ni uchafu tangulieni jalalani.Hatuwezi kushauriwa na makada w lowasssa cc bwana acha tuisafishe nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wenyewe ni uchafu tangulieni jalalani.Hatuwezi kushauriwa na makada w lowasssa cc bwana acha tuisafishe nchi
Raisi aungweje mkono na Lissu . . Hebu eleza na sie tuelewe . .Huyu naye siasa tu, Hivi alitaka Mh. Rais afanyeje katika Swala kama hili si aseme, kazi kulalamika. Kwa maelezo yake nafikiri ulikuwa ni wakati sasa kumuunga Raisi mkono......
Katika mkataba kati ya ACACIA na serikali ni wapi panaposema kuwa ACACIA wanaweza kutudanganya kiasi cha dhahabu kilichopo ndani ya mchanga wanaosafirisha?Na kweli wewe ni Dumb wala hujakosea..Magufuli wakati kipindi hicho anasema Ndiyo mswaada wa madini upite alikuwa hajui faida na madhara yake? Au alikuwa anaunga mkono ilimradi tu bora liende?
Jamani shule inasaidia sana. Ningekujibu kama swali lako lingeeleweka.Kama unadai kuibiwa mchanga unaweza kutueleza huo mchanga uliuchimba lini wapi na kwa namna ipi!!?
UKOME KUYAPAKAZIA UZEMBE MAJESHI YETU YA ULINZI NA USALAMA WA MIPAKA, MAISHA NA MALI ZETU WATANZANIA.
Unaonyesha dhahiri kuwa bila kimondo hufaulu mtihani hata wa chekechea.Jamani shule inasaidia sana. Ningekujibu kama swali lako lingeeleweka.
Naona jazba tu lakini sielewi unauliza nini.
Tundu Lissu hajui hata namna ipi bora ya kushauri nchi inapokuwa vitani ....anaropoka kama vile ni ile michezo ya Chadema vs CCM ....anakuja na ngojera za kuanza kupigania issues za madini toka 99 na anatumia kigezo hicho kuponda kuwa hatuibiwi kwenye mchanga!!! ....hivi hiyo mikataba hata kama ingekuwa na ubora kiwango anachotaka yeye ....itaweza kuzuia udanganyifu kama huu ukihusisha maafisa wa serikali? Mbona anamshambulia JPM kuwa anajua alikuwa upande upi kipindi mikataba inasainiwa lakini hawataji mawaziri wakuu walioshiriki kama wakuu wa serikali ambao wapo nao huko Chadema? ....Tundu Lissu asitake kutafuta sifa kwenye issues za kitaifa ....maoni yake ni kama anatamani kuwasaidia ACACIA kuishtaki serikali .....atafute namna ya kutoa maoni yake kwa faida ya taifa na si kuropoka ovyo kama vile hii ni siasa .....Tundu Lissu amevimba kichwa inabidi aambiwe ukweli ....
Nimesoma mistari miwili tu ya reply yako nikagundua huwezi kujenga bure,ila ukilipwa unabomoa,una nini cha kunielewesha wewe,unavyodai sijamuelewa Lisu so unahisi wewe nikuelewe na mitusi yako,endelea kubomoaKwani umeisoma vizuri andiko lililotolewa humu au unakurupuka tu,,maana kina sizonje mpo wengi. Labda nikueleweshe tu kauli na maana ya anachokiongea Tundu Lissu,, yy hajasema wala kukataa kuibiwa mchanga wenye madini,maana kwa miaka mingi wamekuwa wakiongea kuhusu uwizi huo na mkuu wa kaya na maficm wenzake wamekuwa wakitetea kwa kuipitisha tena kwa vifijo na nderemo na huyuhuyu mkuu akiwa mmoja wao hatujawahi kumsikia hata mara moja akihoji zaidi ya kusuport kila miswada ya madini ambayo ni mibovu ikiletwa bungeni wakati huo,na ni hawahawa wakina Tundu walikuwa wakiwaasa kuwa kuna uwizi mkubwa unafanyika,,. Sasa alichokiongea Tundu Lissu ni kuwa hapo tunachoibiwa sisi ni mikataba mibovu tuliyoingia na ndio maana akasema siku ya mwisho tutawarudishia aidha mchanga wao huo tunaojibatiza kuwa ni wetu na tunaibiwa au tukitumia mabavu kuuchukua na kuvunja nao mikataba tuliyoingia chaka wenyewe na kuipitisha kwa kuibariki kwa zimwi la kiitikadi na kuacha uzalendo eti sababu upo chini ya himaya yetu basi itabidi tuwalipe hela nyingi ambayo tutajuta kwa kutafuta sifa ya kisiasa ya mda mfupi,. Yaani maana yake badala ya kuangalia tulipojikwaa tunaangalia tulipoangukia,,au hamkumbuki ngano mbovu ya bakressa,,?? Kilichotokea kwa kumpa utajiri wa bure kama fidia iliyopelekea hadi leo ni mmoja kati ya matajiri wakubwa Afrika na yote ni nn,,!!? Sifa za kijinga
I rest my case.Unaonyesha dhahiri kuwa bila kimondo hufaulu mtihani hata wa chekechea.
Kwenye siasa na hasa siasa za kipumbavu za ccm ni kutengeneza matatizo na kuja kujifanya wanayatatua baadae.....yaani hiki ni chama cha sanaa na wizi mtupu. Matukio mengine yapo hawayatatui mpaka watz wateseke ndipo wao wanakuja na kujifanya wanatatua.....
Magufuli was is and will never be a hero coz he is a member of corrupt system of ccm which consistently destroys watz.....
I will the very last person to agree on any move initiated by ccm
Kwani wao wamezuia mchanga!?Mbona Fisadi Lowasa na Sumaye hauwataji?
Hata Lipumba ni Profesa!Jamani eee!!! aliyeianzisha hii vita ni Mh Magufuli na kajipangia namna ya kuipigana. Kaunda kamati mbili za kumshauri. Kamti ya kwanza imetoa majibu na maoni bado ya pili.
Kutletea maoni ya huyu mwehu humu ni kutuchosha sana. Maprofesa na madokta washeria na uchumi wamo kwenye kamati ya pili watamshauri kisheria limekaaje. Chochote watakacho shauri ndicho kitakachofanyika. Lisu na wapuuzi wengine wasimsafishe mtoto bado anajisaidia waache kihelehele.
mmempa heche sumu, kisa alimpinga masha kuwa mmoja wa wagombea EALUngetoa hoja basi yenye mashiko.
Hata kumchukua fisadi Lowasa na Mr 0 ni tatizoTatizo mikataba tu
Wamuachie nani lowassa na sumaye? Ambao hawahusiki na ccm?
mbowe ndo mzalendo, hadi amempa heche sumu, kudai mabadiliko ya katiba ndani ya chama