Mwaka huu Wasiojulikana wamepatikana😅😅😅Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Kitu gani unataka?Hamna kitu hapo watanzania sisi waoga sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Lissu hana cha kupoteza, hana biashara kusema labda serikali itamfilisi kama ilivyofanya kwa Mbowe ndiyo maana aogopi na kisaikolojia alishajiandaa huyu, ukipona risasi 36 uwezi kuogopa kifo tena.Mwaka huu Wasiojulikana wamepatikana😅😅😅
Uko sahihi watanzania tunakatisha sana tamaa hawa wapigania mageuzi wetu.Hamna kitu hapo watanzania sisi waoga sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Anyee debe tu wengine wakileta uasi watiwe nguvuniKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Ana mali gani ya kufilisiwa na serikali? Lissu knew anajiingiza wapi, he prep for this. Mbowe was a business man , na hiyo ndio ilikuwa weakness yakeLissu hana cha kupoteza, hana biashara kusema labda serikali itamfilisi kama ilivyofanya kwa Mbowe ndiyo maana aogopi na kisaikolojia alishajiandaa huyu, ukipona risasi 36 uwezi kuogopa kifo tena.
Hana Cha kupoteza hata mke na watoto?Lissu hana cha kupoteza, hana biashara kusema labda serikali itamfilisi kama ilivyofanya kwa Mbowe ndiyo maana aogopi na kisaikolojia alishajiandaa huyu, ukipona risasi 36 uwezi kuogopa kifo tena.
Labda tuupe wakati nafasi, kuna mambo mengi yanafanyika toka kukamatwa kwake.Shida inaanza pale ambapo yeye yupo lupango halafu keyboard warriors wake wanajifanya wanamsapoti mitandaoni na sio barabarani. Hii nchi ngumu sana we have seen the kind of such cowards, heri tujilie tu.
Nadhani hata yeye alishajiandaa kwenda njia hii.Boss anasprit moja kubwa Sana watanzania tungemwelewa angetukomboa ndani ya mwaka mmoja tu😡