PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Hana Cha kupoteza hata mke na watoto?Aache uwongo
 
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Gentleman,
hukana haja ya kunyonga vibaka na matapeli wa kisiasa Tanzania, kama Taifa, lipo jukumu muhimu zaid la kunyorosha tabia na mienendo ya waropokaji na wachochezi chuki na uhasama miongoni mwa waTanzania waTulivu sana.

Roho ya mauti ikikulemea, kinyonge au kunywa sumu ufe, tukuzike na tukusahau na maisha ya walio hai yaendelee kusonga mbele 🐒
 
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Anyongwe na nani?

Hakuna watu wenye shida hiyo
 
Sasa akishakufa baada ya kunyongwa atafaidika na lipi
 
Uko sahihi watanzania tunakatisha sana tamaa hawa wapigania mageuzi wetu.
Tanzania Kila mtu anatakiwa kupambana na Hali yake watu washapotezwa wengi kisa kupambania nchi na hakuna jipya Mimi ushauri wangu acha watu wage na njaa zao
 
Back
Top Bottom