Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Ngoma amekabidhiwa MZARAMO😂😂Mwaka huu Wasiojulikana wamepatikana😅😅😅
Ngoma amekabidhiwa MZARAMO😂😂Mwaka huu Wasiojulikana wamepatikana😅😅😅
Disko limeingia MasaiNgoma amekabidhiwa MZARAMO😂😂
Akifa anakufa mwenyewe maisha ya watanzania waliobaki yanaendeleaHamna kitu hapo watanzania sisi waoga sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Kama Braza K yuko tayari kunyongwa si atulie. Ana bwekabweka nini sasa?Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Tunamuombea Mungu Afya NjemaKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Msukuma amekabidhiwa jembe la mkono na shambaDisko limeingia Masai
Mtu aliyejitolea kweli kwa ajili ya kweli ya Mungu hana cha kupoteza.Hana Cha kupoteza hata mke na watoto?
Lisu hajawahi kutishika na maguIngekuwa enzi za mwendazake angethubutu kusema hivyo? Ila kudos kwake kwa kuipigania haki.
Mungu ambarikie na kumlinda Tundu Antipas LissuKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Magufuli na Lissu wangekuwa njia moja, hili taifa lingekuwa mbali sana.Boss anasprit moja kubwa Sana watanzania tungemwelewa angetukomboa ndani ya mwaka mmoja tu😡
Hehe 😀😀shida watu wanajificha nyuma ya keyboard wakitegemea mtu mmoja atafanya kila kitu.....kwa nchi nyingine ingekua kweli wanahitaji mageuzi kwa sasa mtaani kungekua hapakaliki ila kwa sasa watu wanatamba kwenye mitandao tu ,,,,,kitaa hamna anaenyanyua mguu wake aliendelezeBoss anasprit moja kubwa Sana watanzania tungemwelewa angetukomboa ndani ya mwaka mmoja tu😡
Sidhani kama mtawala anajali kuhusu aibu kikubwa nafasi yake imebaki palepaleMtu alinusurika risasi 32 bila bullet proof ya mwilini wala kwenye gari ndio mje mumtishie kitanzi?
Lissu shikilia hapo hapo kaburu wa mwanamke kutoka Unguja na mchekeshaji namba moja wa taifa anaelekea kupata aibu nyingine ya mwaka.View attachment 3306251
Hakuna mtu muoga kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana. 🤣🤣 Hao watanzania anaowapigania ni waoga sana ataishia kuwaona mitandaoni na kwenye comments. Labda yatokee maajabuHamna kitu hapo watanzania sisi waoga sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Subiri , muda ni hakimu.Sidhani kama mtawala anajali kuhusu aibu kikubwa nafasi yake imebaki palepale
Hehe shida watu wanajificha nyuma ya keyboard wakitegemea mtu mmoja atafanya kila kitu.....kwa nchi nyingine ingekua kweli wanahitaji mageuzi kwa sasa mtaani kungekua hapakaliki ila kwa sasa watu wanatamba kwenye mitandao tu ,,,,,kitaa hamna anaenyanyua mguu wake aliendeleze
sasa akimwachia wakati huu wa uchavuzi si atamharibia? naona hataachiwa karibuniMama hana Choice nyingine zaidi ya kumwachia with no conditions!
Kama wananchi wenyewe ni hawa wakujificha nyuma ya keyboard hamna miujiza ,mapinduzi hayatokei nyuma ya keyboard ni watu waingie mtaani,,,hakuna mtawala alieachia nafasi yake kisa anachambwa na watu mitandaoniSubiri , muda ni hakimu.