PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

View attachment 3306192
Msimwekee maneno mdomoni, ht hivyo akifa ni hasara kwa nani? Kila siku watu wanakufa tena wema kabisa na wenye akili nyingi. Watakaopata hasara ni watoto wake tu ht mke hawezi kupata hasara
 
Shida inaanza pale ambapo yeye yupo lupango halafu keyboard warriors wake wanajifanya wanamsapoti mitandaoni na sio barabarani. Hii nchi ngumu sana we have seen the kind of such cowards, heri tujilie tu.
We unamsubiri nani, tangulia we bwege
 
Hehe 😀😀shida watu wanajificha nyuma ya keyboard wakitegemea mtu mmoja atafanya kila kitu.....kwa nchi nyingine ingekua kweli wanahitaji mageuzi kwa sasa mtaani kungekua hapakaliki ila kwa sasa watu wanatamba kwenye mitandao tu ,,,,,kitaa hamna anaenyanyua mguu wake aliendeleze
Wananchi watafikiwa tu subiri raslimali zote ziuzwe

Watainuka kuzidai bila hata kuhamasishwa na mtu
 
Kama wananchi wenyewe ni hawa wakujificha nyuma ya keyboard hamna miujiza ,mapinduzi hayatokei nyuma ya keyboard ni watu waingie mtaani,,,hakuna mtawala alieachia nafasi yake kisa anachambwa na watu mitandaoni
Hufahamu ni kupitia kudharau hao hao wananchi Hosni Mubarak ,Muamar Ghadafi walijikuta hawana msaada hata kwa majeshi waliyokuwa wakiyalipa hata kiasi ambacho Tanzania hamlipi wanajeshi wenu?

Hosni Mubarak aliwaita waandamanaji ni vichaa na wapuuzwe , akamwaga jeshi mtaani jeshi lilizidiwa na hadi likawaunga mkono wananchi akabaki yeye na familia yake tu.

Muamar Ghadafi yeye alisema hakuna wa kumtoa uongozini maana hata wasiofanya kazi anawalipa vizuri tu mwisho wa mwezi na hatokwenda uhamishoni , alijikuta ametoka ikulu hadi kuishi jangwani kutoka mamia ya walinzi hadi walinzi wanne.

Nimejaribu kukupa mifano michahe ya historia , na historia ina tabia ya kujirudia.
 
Hamna kitu hapo watanzania sisi waoga sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Waoga wa nini? hakuna sababu ya eti unamfia Lissu, hiyo endeleeni nyie wafuasi wake, wengine maisha yetu hayategemei mafanikio ya chama chochote cha siasa.
 
Gentleman,
hukana haja ya kunyonga vibaka na matapeli wa kisiasa Tanzania, kama Taifa, lipo jukumu muhimu zaid la kunyorosha tabia na mienendo ya waropokaji na wachochezi chuki na uhasama miongoni mwa waTanzania waTulivu sana.

Roho ya mauti ikikulemea, kinyonge au kunywa sumu ufe, tukuzike na tukusahau na maisha ya walio hai yaendelee kusonga mbele 🐒
Hata wewe unaropoka,ila hujui!
 
Hufahamu ni kupitia kudharau hao hao wananchi Hosni Mubarak ,Muamar Ghadafi walijikuta hawana msaada hata kwa majeshi waliyokuwa wakiyalipa hata kiasi ambacho Tanzania hamlipi wanajeshi wenu?

Hosni Mubarak aliwaita waandamanaji ni vichaa na wapuuzwe , akamwaga jeshi mtaani jeshi lilizidiwa na hadi likawaunga mkono wananchi akabaki yeye na familia yake tu.

Muamar Ghadafi yeye alisema hakuna wa kumtoa uongozini maana hata wasiofanya kazi anawalipa vizuri tu mwisho wa mwezi na hatokwenda uhamishoni , alijikuta ametoka ikulu hadi kuishi jangwani kutoka mamia ya walinzi hadi walinzi wanne.

Nimejaribu kukupa mifano michahe ya historia , na historia ina tabia ya kujirudia.
Huko nako walikua wanakimbiza Mwenge nchi nzima? Hao jamaa hata kabla hao marais hawajapinduliwa walikua wanaonyesha dalili ,likitokea jambo wapo kitaa, kwahio walishavukaga stage ya u keyboard warrior zamani sana,, huku hadi kizazi cha ma keyboard warrior kije kupita sijui itachukua karne ngapi......maandamani ya juzi kati tu ya mbowe mzee mzima akajikuta peke yake wale wote waliokua wanamvimbisha kichwa wataingia kitaa wakaufyata kwenye keyboard zao......huku ukitoa Lisu basi utasikia makeyboard wanajipa matumaini kwamba kuna mzungu atakuja kuwasaidia ila wao kuingia mzigoni aaah..wanachojua ni kununua bando tu na kubwabwaja mitandaoni baaas
 
Tanzania Kila mtu anatakiwa kupambana na Hali yake watu washapotezwa wengi kisa kupambania nchi na hakuna jipya Mimi ushauri wangu acha watu wage na njaa zao
Harakati ni nature ya mtu, some people are born with it, watu wa aina hii wapo kila sehemu kuanzia Maofisini, kwenye familia, na society kwa ujumla.

These Mother f*cker do not know how/when to stop.

Big up kwa wanahakati wote popote mlipo nchini.
 
Back
Top Bottom