PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Amen.
Ni wachache sana wanaoamua kupoteza "fame & fortune" kwa ajili ya kupigania haki ya wengi.
GOD bless Godbless Lema.
Nampngeza Sana lema amekubali kupoteza marafk na kusimamia haki

Mungu amlipe mema kwa uzalendo wake
 
Hehe 😀😀shida watu wanajificha nyuma ya keyboard wakitegemea mtu mmoja atafanya kila kitu.....kwa nchi nyingine ingekua kweli wanahitaji mageuzi kwa sasa mtaani kungekua hapakaliki ila kwa sasa watu wanatamba kwenye mitandao tu ,,,,,kitaa hamna anaenyanyua mguu wake aliendeleze
Hata Yesu alipokamatwa wafuasi wake walimwangalia hadi kuuwawa. Lakini alitimiza lengo.
 
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

View attachment 3306192
Mambo ya kumtishia mtu aliyegoma kufa haya. Ngoja fireback ianze. Simo Mimi
 
TAL anajua hawezi hukumiwa kunyongwa.
 
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

View attachment 3306192
Sasa si akubali kosa la uhaini ili tuokoe muda wa kesi ili pia hukumu itolewe mapema pia anyongwe mapema!!
 
Hufahamu ni kupitia kudharau hao hao wananchi Hosni Mubarak ,Muamar Ghadafi walijikuta hawana msaada hata kwa majeshi waliyokuwa wakiyalipa hata kiasi ambacho Tanzania hamlipi wanajeshi wenu?

Hosni Mubarak aliwaita waandamanaji ni vichaa na wapuuzwe , akamwaga jeshi mtaani jeshi lilizidiwa na hadi likawaunga mkono wananchi akabaki yeye na familia yake tu.

Muamar Ghadafi yeye alisema hakuna wa kumtoa uongozini maana hata wasiofanya kazi anawalipa vizuri tu mwisho wa mwezi na hatokwenda uhamishoni , alijikuta ametoka ikulu hadi kuishi jangwani kutoka mamia ya walinzi hadi walinzi wanne.

Nimejaribu kukupa mifano michahe ya historia , na historia ina tabia ya kujirudia.
Ndugu unafikiri hayo mazwazwa yanajua hayo uliyowaambia!!? Hata kuelewa hawawezi maana ni mazwazwa yaliyopindukia.
Duniani binadamu aliye hai hakatiwi tamaa, ni maiti pekee ndiyo haiwezi fanya lolote.
 
Akukomboe kwa lipi? Fanyakazi hakuna mtu hapa duniani atafanyakazi kwa niaba yako!!
Mnaposema kila kitu ni mama Samia ama enzi za dhalimu magu mlikuwa mnamaanisha nini?
 
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.

Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

View attachment 3306192
Safari hii chadema imepata mwenyekiti kwelikweli...
 
Back
Top Bottom