Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ujue hukuwa mlengwa wa ujumbe huo.Baranarani ndio nini mkuu nimeshindwa kuelewa?
Ujue hukuwa mlengwa wa ujumbe huo.Baranarani ndio nini mkuu nimeshindwa kuelewa?
Issue hapo sio yeye kuwa ngangari, issue ni kwamba wamempiga mchungaji ili kondoo watawanyike, muda atakaokuwa rumande kauli ya no reform inaweza kupotea kama wafuasi wake wasipokuwa na msimamo kama wakeKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Jisemee wewe mkuuHamna kitu hapo watanzania sisi waoga sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Uonevu humfanya anayeonewa kuwa sugu. Lissu ameshakuwa sugu; waonevu hawamuwezi tena!Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Chooni hata wewe unaenda iwe debe, kopo au vyovyoteAnyee debe tu wengine wakileta uasi watiwe nguvuni
Umenistua ulivyosema kunyongwa hadi kufaKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Anyee debe tu wengine wakileta uasi watiwe nguvuni
Hiyo ni ndotoIssue hapo sio yeye kuwa ngangari, issue ni kwamba wamempiga mchungaji ili kondoo watawanyike, muda atakaokuwa rumande kauli ya no reform inaweza kupotea kama wafuasi wake wasipokuwa na msimamo kama wake
Hanyongwi,anavundikwa tu humo akiiva atatokaKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Wewe ni sehemu ya ukandamizaji. Kina siku Mungu atawafukia na dhambi zenu
Sawa ,hautanyongwa utapumzika huko hukoKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Hakuna mwenye shida ya kunyonga huyu mtu. Anajihukumu ili aonewe huruma. Adhabu yake iko kisheria na siyo lazima akutwe na hatia, rais pia anaweza kuingikia mahakama akaachiwa Kama gaidi alivyoachiwa akaibukia ikulu.Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Mikwara tu, nani amnyonge sasaKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Kwani alipigiwa risasi wapi,si hapahapa nchini?Ingekuwa enzi za mwendazake angethubutu kusema hivyo? Ila kudos kwake kwa kuipigania haki.