LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
..Yeyote anaweza nyea debe mkuu, huwezi Jua ya kesho huenda hata Samia one day yakamkuta...Kama we sio nyumbu muoga umefanya nini mpaka Sasa tundu lissu ananyea debe
..Yeyote anaweza nyea debe mkuu, huwezi Jua ya kesho huenda hata Samia one day yakamkuta...Kama we sio nyumbu muoga umefanya nini mpaka Sasa tundu lissu ananyea debe
Kumbe huelewi!!? Kuna kazi zinazowezeshwa na kiongozi za maendeleo ya jumla, lakini maendeleo yao binafsi lazima upambane mwenyewe.Mnaposema kila kitu ni mama Samia ama enzi za dhalimu magu mlikuwa mnamaanisha nini?
Mnaposema kila kitu ni mama Samia ama enzi za dhalimu magu mlikuwa mnamaanisha nini?
Ingia rodi kamkomboe lisuu acha ujinga siasa Gani za mtandaoni barabarani muogaHata Yesu alipokamatwa wafuasi wake walimwangalia hadi kuuwawa. Lakini alitimiza lengo.
Kwani Kuna atakayeishi milele? Yuko wapi Nyerere, Yuko wapi jpm.Kila nafasi itaonja mautiAkifa anakufa mwenyewe maisha ya watanzania waliobaki yanaendelea
Huyo anaenyea debe anao wafuasi waliokua manyumbu Kwa kupiga mkwara mitandao ila uhalisia ni warembo tu wamejifunika shuka..Yeyote anaweza nyea debe mkuu, huwezi Jua ya kesho huenda hata Samia one day yakamkuta...
Mbona samia anafanya 🤔Akukomboe kwa lipi? Fanyakazi hakuna mtu hapa duniani atafanyakazi kwa niaba yako!!
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Walikufa vifo vya kawaida sio vya kujitakiaKwani Kuna atakayeishi milele? Yuko wapi Nyerere, Yuko wapi jpm.Kila nafasi itaonja mauti
Akubali kosa gani? Hiyo inahusiana nini na kutokuogopa kifo?Kama haogopi akubali kosa basi mkuu ili kesi iishe mapema.
Njoo ww barabarani unizuie, au ww unapost huu mkwara mbuzi ukiwa road gani.Ingia rodi kamkomboe lisuu acha ujinga siasa Gani za mtandaoni barabarani muoga
Hafanyikazi ili kukuendeleza wewe binafsi bali taifa zima na wewe sasa ufanyekazi kwa ajili ya maendeleo yako binafsi na familia yako mkuu.Mbona samia anafanya 🤔
Njoo ww barabarani uonyeshe uwezo wako wa kutuzuia.Huyo anaenyea debe anao wafuasi waliokua manyumbu Kwa kupiga mkwara mitandao ila uhalisia ni warembo tu wamejifunika shuka
Akubali kosa la uhaini ili anyongwe hadi kifo.Akubali kosa gani? Hiyo inahusiana nini na kutokuogopa kifo?
Atakuja mkijitokeza barabarani.Njoo ww barabarani uonyeshe uwezo wako wa kutuzuia.
Sisi tuko baranarani kila siku, ww ndio useme utakuja lini.Atakuja mkijitokeza barabarani.
Huyo shetani Magufuli si ndiye aliyeamuru auwawe? Lakini bado aliendelea na mapambano hadi shetani akajisalimisha jehanam!Ingekuwa enzi za mwendazake angethubutu kusema hivyo? Ila kudos kwake kwa kuipigania haki.
Ahahahahaha! Ahahahahaha! Ahahahahaha! Ahahahahaha! Ahahahahaha! Hao wanaoendeleza hiyo No Reform, No Election ni akina nani? Ahahahahaha! Ahahahahaha! Ahahahahaha!!Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
View attachment 3306192
Unamdanganya babaako asiyejua kusoma na kuandika ama?Sisi tuko baranarani kila siku, ww ndio useme utakuja lini.
Baranarani ndio nini mkuu nimeshindwa kuelewa?Sisi tuko baranarani kila siku, ww ndio useme utakuja lini.