Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2877242

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama chake , yatakayofanyika tarehe 24/01/2024 mapema asubuhi.

Akizungumza na vyombo vya habari vya Kimataifa , Lissu amefurahishwa na Jinsi umma wa Watanzania ulivyoitikia Maandamano hayo na kuahidi kushiriki kikamilifu , licha ya vitisho vya kishamba vya Mkuu wa Mkoa wa DSM , Chalamila mwenye asili ya Tanangozi huko Iringa .

Taarifa hii njema inazima kabisa kauli za uongo zinazoendelea kutolewa na viongozi wa ccm wenye upeo wa chini kwamba Lissu amepuuza Maandamano hayo .
Wanaotangaza hayo kuwa mh Lissu hatokuwepo ni waoga .
 
Nilimsikia juzi Bashite anamsifia mh Lissu kumbe ni mnafiki tu
 
Sasa mtu anatembea kama roboti, ikitokea tifu ya nguvu anachomokaje? Na hayo mavyuma mpaka kwemye ulimi.

Vita haina macho.

Japo habari ya kughushi, haipo CNN wala BBC, takataka tupu, aje na rungu atakula
Usilie , Mambo bado , ndio kwanza tunaanza
 
Vichekesho hivi vinapatikana kwa Dj Mbowe tu,si wewe Erythrocyte ulisema kuwa lissu hatashiriki maandamano ili ikitokea watu wamekamatwa aje kuwatetea!?

Hakuna wa kuandamana huko chadema,lissu akae huko aendelee kula ruzuku ya chama
Unaongea wakati nakuona unatetemeka kisa maandamano ya chama kubwa CHADEMA
 
Kwani aliendaga Wapi, ndiyo maana hasikiki, Yaani hajulikani na imesahaulika kama Tanzania tuna Mwanasiasa anaitwa Tundu Lissu. Cha Msingi ni nyumbani kwao ni Muhimu kurudi na Siyo kuwatangazia Watu unarudi wakati ni haki yako ama urudi au Usirudi. Ila Kuna Vitu ninavyojiuliza:
1. Hivi lengo la Siasa za Chadema ni nini?
2. Mikakati yao ya Kisiasa ni Ipi?
3. Umuhimu wao kuitengeneza Afya Ya Tanzania yetu ni upi?
4. Je, Imani yao Kwenye Siasa imejikita Kwenye Mlengo Upi? Mbona wanatajwa kuziamini Sera za Jinsia Nyingi nyingi je ni kweli?
5. Chadema na Siasa za Matukio yao ya kutengeneza na kupenda kuishi kwa Matukio ya Kishtukiza kunawasaidia nini?
6. Hivi Chadema wanatanga kuandamana kuchelewrshwa kutekelezwa kitu ambacho waligomea Kishiriki lengo lao ni lipi na wanataka kumnufaisha nani?
Maswali Mengine nayahifadhi saizi;;

NB: Kiukweli Siasa za Kihuni ni Muhimu tuzipinge nchini kwetu, atakayeleta Uhuni ni Vizuri Sheria itengenezwe ya kukataza.
Maandamano yatakayofanyika ni yale ya Kutoka Ubelgiji kuja Tanzania.
Tanzania hoyeeeee
Nasikia kati ya walishindwa kulenga viziri shabaha ni wewe pale Dodoma
 
Sasa mtu anatembea kama roboti, ikitokea tifu ya nguvu anachomokaje? Na hayo mavyuma mpaka kwemye ulimi.

Vita haina macho.

Japo habari ya kughushi, haipo CNN wala BBC, takataka tupu, aje na rungu atakula
Unamcheka kilem a wakati na wewe ni KILEMA MTARAJIWA?
 
Kuna kubwajinga lao lilisema wapinzani ni watoa taarifa waachwe wafanye Yao nashangaa saivi linazurura likiwaza maandamano ya 24 One 24!!
Waoga woote wajifungie ndani wakati wazalendo na wadai haki na uhuru wakiipigania Tz,
SHIME TUJITOKEZE 24 ONE 24...TANZANIA KWANZA WAHUNI TUPAKULE
 
Kwani aliendaga Wapi, ndiyo maana hasikiki, Yaani hajulikani na imesahaulika kama Tanzania tuna Mwanasiasa anaitwa Tundu Lissu. Cha Msingi ni nyumbani kwao ni Muhimu kurudi na Siyo kuwatangazia Watu unarudi wakati ni haki yako ama urudi au Usirudi. Ila Kuna Vitu ninavyojiuliza:
1. Hivi lengo la Siasa za Chadema ni nini?
2. Mikakati yao ya Kisiasa ni Ipi?
3. Umuhimu wao kuitengeneza Afya Ya Tanzania yetu ni upi?
4. Je, Imani yao Kwenye Siasa imejikita Kwenye Mlengo Upi? Mbona wanatajwa kuziamini Sera za Jinsia Nyingi nyingi je ni kweli?
5. Chadema na Siasa za Matukio yao ya kutengeneza na kupenda kuishi kwa Matukio ya Kishtukiza kunawasaidia nini?
6. Hivi Chadema wanatanga kuandamana kuchelewrshwa kutekelezwa kitu ambacho waligomea Kishiriki lengo lao ni lipi na wanataka kumnufaisha nani?
Maswali Mengine nayahifadhi saizi;;

NB: Kiukweli Siasa za Kihuni ni Muhimu tuzipinge nchini kwetu, atakayeleta Uhuni ni Vizuri Sheria itengenezwe ya kukataza.
Maandamano yatakayofanyika ni yale ya Kutoka Ubelgiji kuja Tanzania.
Tanzania hoyeeeee
WeWe ni ccm ya chadema hayakuhusu mtoto wa kiume unakuwa mshambenga
 
Back
Top Bottom