Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu kapigwa nyundo ya kichwa mwenyewe kafunguwa bakuli.

Hakuna maandamano yanayokubalika duniani kote...
Unadhani kila mtu anpigwa nyundo kama wewe pale kinondoni makaburini unavyo pigwa?
 
Nani mwenye kadi yake akashiriki maandamno ya siku ya Jumatano?

Mnashindwa siasa mnataka kuanzisha fujo?

Tena tunaitaka serikali isiwawachie kabisa huo upuuzi,mnataka kuanzisha machafuko tu.

Serikali, hao wote wanojidai kuitisha maandamano ficha kimya kimya wasionekane mitaani kuanzia leo.

Prevention is better than cure.
 
Lissu kapigwa nyundo ya kichwa mwenyewe kafunguwa bakuli.

Hakuna maandamano yanayokubalika duniani kote.
Haya maandamo ni ya kijanja ajuza?

Sio sawa na kuhamisha pesa kutoka mkono wako wako wa kulia na kuzihamishia mkono wako wa kushoto huku ukisema umepata mara mbili?
Nani alisema Tanzania hakuna amani hata yawepo maandamano mnayijidai ya amani?

Hatutaki maandamano ya kijinga, nendeni mkawe takataka siku hiyo.

Mmeshindwa siasa za kistaarabu sasa mnataka kulanzisha fujo? Hatukubali kabisa hilo.
images (31).jpeg

Ni wapumbavu wasio na kazi tu watakaoshoriki hayo maandamano uchwara.

Oesa mnazolipwa vijana msio na kazi zitawatokea puani.
Oesa ni nini ajuza ?

Hivi huko CA ulienda kusomea ujinga?
 
Lissu kapigwa nyundo ya kichwa mwenyewe kafunguwa bakuli.

Hakuna maandamano yanayokubalika duniani kote.

Nani alisema Tanzania hakuna amani hata yawepo maandamano mnayijidai ya amani?

Hatutaki maandamano ya kijinga, nendeni mkawe takataka siku hiyo.

Mmeshindwa siasa za kistaarabu sasa mnataka kulanzisha fujo? Hatukubali kabisa hilo.
Siasa za kistaarabu ni hizi: Rais ambaye ni mgombea ndiye anayepanga wasimamizi wa kura kuanzia tume, wakurugenzi, Usalama wa Taifa, Polisi, n.k. na pia matokeo ya uchaguzi ameweka sheria yasihojiwe mahakamani. Hizi ndio siasa za kistaarabu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nani mwenye kadi yake akashiriki maandamno ya siku ya Jumatano?
Nani kasema anaenda kufanya fujo?
Mnashindwa siasa mnataka kuanzisha fujo?
Isiwawachie ❌

Isiwaachie ✔️

Hivi huko CA ulienda kusomea ujinga?
Tena tunaitaka serikali isiwawachie kabisa huo upuuzi,mnataka kuanzisha machafuko tu.

Serikali, hao wote wanojodai kuitisha maandamano ficha wasionekane mitaani kuanzia leo.
What are you preventing ?
Prevention is better than cure.
 
Siasa za kistaarabu ni hizi: Rais ambaye ni mgombea ndiye anayepanga wasimamizi wa kura kuanzia tume, wakurugenzi, Usalama wa Taifa, Polisi, n.k. na pia matokeo ya uchaguzi ameweka sheria yasihojiwe mahakamani. Hizi ndio siasa za kistaarabu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeah, di pigeninkurs na nyinyi chama cha kikanda mshinde.

Mnaelewa kuwa kwenye sanduku la kura hamtoshi.

Kafanyieni maandamano iwenu huko Kaskazini.

Dar mtaumia.
 
Haya maandamo ni ya kijanja ajuza?

Sio sawa na kuhamisha pesa kutoka mkono wako wako wa kulia na kuzihamishia mkono wako wa kushoto huku ukisema umepata mara mbili...
Nyie tunawajuwa mlivyo, Mkishalipwa kidogo mnajifanya hamuelewi.
 
Yule mpuuzi mwenye makalio makubwa kama ng'ombe wa maziwa alitakiwa awe mirembe na machizi wenzie
 
Huyu mtu anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda amani na maendeleo, hoja ya Lissu kuwa anawahimiza watanzania wafanye maandamano ya amani , je hatuna amani nchini mwetu...
Hivi kama maandamano ya amani ni kitu kibaya kwa namna ccm inavyo ogopa kwa nini yaliruhusiwa rasmi na katiba? Na kwa nini yapo dunia nzima?

Au CCM hamtaki kupingwa kwa maandamano ya amani bali mapinduzi kama yale ya Niger au Burkina Faso?

Au mnataka ya mapanga kama yale ya January 12 kumtoa Sultani?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Potojo huyo, hata kuonekana hatonekana. Wanawe wapo USA na mke aliyemkataa kwa kubarikiwa.

Awalete mtaani, siyo wanawasakizia vijana wasio na kazi tu.
 
Wenzetu akina Lissu na Mbowe watakuwa na bima.

Wenzangu na mimi kajamba nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hili li sinyari nalo ni likijana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti vijana wenzangu
Hizi ni akili zaifu za Wtz , maandamano ni muhimu ila wanachoandamania akieleweki, wanaandamana kutetea matumbo yao.

Maandamo yangekuwa ya maana kama tungekuwa tunaandamana kupinga gharama za maisha kupanda na vingine basi ila ivyo vingine.
 
Hivi kama maandamano ya amani ni kitu kibaya kwa namna ccm inavyo ogopa kwa nini yaliruhusiwa rasmi na katiba? Na kwa nini yapo dunia nzima...
Nani alikwambia hatuna amani Tanzania hata uanzishe unayojidai kuyaita eti "maandamano ya amani".
 
Yeah, di pigeninkurs na nyinyi chama cha kikanda mshinde.

Mnaelewa kuwa kwenye sanduku la kura hamtoshi.

Kafanyieni maandamano iwenu huko Kaskazini.

Dar mtaumia.
Uchaguzi kama huu ndio unaita uchaguzi? We mama utakuwa na UTI sugu sio bure!
IMG-20230510-WA0008.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Potojo huyo
Porojo huyo❌

Porojo hizo ✔️

Hivi huko CA ulienda kusomea ujinga?
, hata kuonekana hatonekana
Ajuza kwani Lissu ndio mtanzania wa kwanza watoto wake kuzaliwa ardhi ya hapa US ?

Mbona husemi Jokate Mwegelo katibu wenu wa UWT alizaliwa hapa hapa US ?
. Wanawe wapo USA na mke aliyemkataa kwa kubarikiwa.

Awalete mtaani,
Vijana hao hao hamjawapa kazi mnaishia kuwalipa $10 waje wamsifie Samia anaupiga mwingi ndio kina Mwashambwa.
siyo wanawasakizia vijana wasio na kazi tu.
 
Wote mnaopinga maandamano ya Chadema hamna akili,
Tena ni mabogasi kabisa vichwa vimejaa makamasi Na sio ubongo.

Mimi naunga mkono maandamano ila sijaona mantiki ya kuandamana kutetea ugali wa chama badala ya kuwatetea watanzania wote , tunahitaji maandamano ambayo Yana tija kwa Watanzania wote . Maandamano ambayo yatamgusa Kila mwananchi .
 
Hivi lengo la kuandamana ni lipi?
Nipo nyuma ya muda,hata sijui .
Hizi ni akili zaifu za Wtz , maandamano ni muhimu ila wanachoandamania akieleweki, wanaandamana kutetea matumbo yao,
Maandamo yangekuwa ya maana kama tungekuwa tunaandamana kupinga gharama za maisha kupanda na vingine basi ila ivyo vingine.
 
Back
Top Bottom