Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2877242

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama chake , yatakayofanyika tarehe 24/01/2024 mapema asubuhi.

Akizungumza na vyombo vya habari vya Kimataifa , Lissu amefurahishwa na Jinsi umma wa Watanzania ulivyoitikia Maandamano hayo na kuahidi kushiriki kikamilifu , licha ya vitisho vya kishamba vya Mkuu wa Mkoa wa DSM , Chalamila mwenye asili ya Tanangozi huko Iringa.

Taarifa hii njema inazima kabisa kauli za uongo zinazoendelea kutolewa na viongozi wa ccm wenye upeo wa chini kwamba Lissu amepuuza Maandamano hayo.
Kwani alivyokwenda alituaga aje akiwepo kama hayupo atapigwa kama ngoma!
 
Kamanda wa mikakati ya kufanikisha maandamano ya amani anawasili pia wananchi toka sehemu mbalimbali wazidi kumiminika tayari kwa ajili ya tarehe 24 January 2024.
 
View attachment 2877242

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama chake , yatakayofanyika tarehe 24/01/2024 mapema asubuhi.

Akizungumza na vyombo vya habari vya Kimataifa , Lissu amefurahishwa na Jinsi umma wa Watanzania ulivyoitikia Maandamano hayo na kuahidi kushiriki kikamilifu , licha ya vitisho vya kishamba vya Mkuu wa Mkoa wa DSM , Chalamila mwenye asili ya Tanangozi huko Iringa.

Taarifa hii njema inazima kabisa kauli za uongo zinazoendelea kutolewa na viongozi wa ccm wenye upeo wa chini kwamba Lissu amepuuza Maandamano hayo.
Kuna kimbwenelehi hapa kwetu Lumumba akavimba tezi za shingo akisema.Lissu kapuuzia maandamano
 
Katika mikutano yake Makonda huko Bagamoyoamekuwa akiwadanganya kuwa Lissu amekimbia maandamano ya tarehe 24/1 eti ameona hayana maana.

Ni aibu kwa kiongozi wa level ya Katibu Itikadi kuwakusanya watu wazima na kusema uongo bila aibu maana yeye anamwakilisha mwenyekiti wake Samia Suluhu hivyo ikimaanisha wote wanashiriki uongo.

Lissu ametoa statement kuwa pamoja na kwenda Ivory Coast kwenye AFCON laki atakuwepo.

Hii inamaanisha MAKONDA NI KIONGOZI MUONGO NA ANAFANYA ULAGHAI KWA WANANCHI

Lissu kapigwa nyundo ya kichwa mwenyewe kafunguwa bakuli.

Hakuna maandamano yanayokubalika duniani kote.

Nani alisema Tanzania hakuna amani hata yawepo maandamano mnayijidai ya amani?

Hatutaki maandamano ya kijinga, nendeni mkawe takataka siku hiyo.

Mmeshindwa siasa za kistaarabu sasa mnataka kulanzisha fujo? Hatukubali kabisa hilo.
 
Hagta mnaodhani kuwa ni mabwana zenu watawatetea, hawatokuwa na habari na nyinyi kabisa. Hii Tanzania wabarikiwa nyinyi, amani wala uhuru wa Tanganyika haujaletwa kwa maandamano. Eleweni hilo.
 
Lissu kapigwa nyundo ya kichwa mwenyewe kafunguwa bakuli.

Hakuna maandamano yanayokubalika duniani kote.

Nani alisema Tanzania hakuna amani hata yawepo maandamano mnayijidai ya amani?

Hatutaki maandamano ya kijinga, nendeni mkawe takataka siku hiyo.

Mmeshindwa siasa za kistaarabu sasa mnataka kulanzisha fujo? Hatukubali kabisa hilo.

Hata mnaodhani kuwa mabwana zenu mliokwenda kujipendekeza kwao watawatetea, hawatokuwa na habari na nyinyi kabisa.

Hii Tanzania wabarikiwa nyinyi, amani wala uhuru wa Tanganyika haujaletwa kwa maandamano. Eleweni hilo.
 
Ni wapumbavu wasio na kazi tu watakaoshoriki hayo maandamano uchwara.

Oesa mnazolipwa vijana msio na kazi zitawatokea puani.
 
Katika mikutano yake Makonda huko Bagamoyoamekuwa akiwadanganya kuwa Lissu amekimbia maandamano ya tarehe 24/1 eti ameona hayana maana...
Makonda aibu kwake ni jambo la kawaida maana angekuwa na aibu wala asingekuwa anaonekana hadharani kwa matendo yake aliyofanya.
 
Huyu mtu anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda amani na maendeleo, hoja ya Lissu kuwa anawahimiza watanzania wafanye maandamano ya amani , je hatuna amani nchini mwetu,,!? Au analenga kuleta vurugu na kisha akimbilie ubeligiji na kutuacha sisi raia tusio na uwezo wa kukimbilia hata Burundi tukikufa kama kuku wa kideli!?

Mtanzania mwenzangu kamwe tusikubali kupelekeshwa na watu wachache wasioitakia mema nchi yetu kwa manufaa yao wenyewe.
 
Ni wapumbavu wasio na kazi tu watakaoshoriki hayo maandamano uchwara.

Oesa mnazolipwa vijana msio na kazi zitawatokea puani.
Wewe mwenyewe ni mpumbavu na kahaba wa kisiasa
 
Ni wapumbavu wasio na kazi tu watakaoshoriki hayo maandamano uchwara.

Oesa mnazolipwa vijana msio na kazi zitawatokea puani.
Mbona wewe hazinakutokea puani fedha unqzolipwa kufanya kazi pale kinondoni makaburini usiku?
 
Back
Top Bottom