Katika mikutano yake Makonda huko Bagamoyoamekuwa akiwadanganya kuwa Lissu amekimbia maandamano ya tarehe 24/1 eti ameona hayana maana.
Ni aibu kwa kiongozi wa level ya Katibu Itikadi kuwakusanya watu wazima na kusema uongo bila aibu maana yeye anamwakilisha mwenyekiti wake Samia Suluhu hivyo ikimaanisha wote wanashiriki uongo.
Lissu ametoa statement kuwa pamoja na kwenda Ivory Coast kwenye AFCON laki atakuwepo.
Hii inamaanisha MAKONDA NI KIONGOZI MUONGO NA ANAFANYA ULAGHAI KWA WANANCHI
View attachment 2877374