Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaotangaza hayo kuwa mh Lissu hatokuwepo ni waoga .
 
Nilimsikia juzi Bashite anamsifia mh Lissu kumbe ni mnafiki tu
 
Sasa mtu anatembea kama roboti, ikitokea tifu ya nguvu anachomokaje? Na hayo mavyuma mpaka kwemye ulimi.

Vita haina macho.

Japo habari ya kughushi, haipo CNN wala BBC, takataka tupu, aje na rungu atakula
Usilie , Mambo bado , ndio kwanza tunaanza
 
Vichekesho hivi vinapatikana kwa Dj Mbowe tu,si wewe Erythrocyte ulisema kuwa lissu hatashiriki maandamano ili ikitokea watu wamekamatwa aje kuwatetea!?

Hakuna wa kuandamana huko chadema,lissu akae huko aendelee kula ruzuku ya chama
Unaongea wakati nakuona unatetemeka kisa maandamano ya chama kubwa CHADEMA
 
Nasikia kati ya walishindwa kulenga viziri shabaha ni wewe pale Dodoma
 
Sasa mtu anatembea kama roboti, ikitokea tifu ya nguvu anachomokaje? Na hayo mavyuma mpaka kwemye ulimi.

Vita haina macho.

Japo habari ya kughushi, haipo CNN wala BBC, takataka tupu, aje na rungu atakula
Unamcheka kilem a wakati na wewe ni KILEMA MTARAJIWA?
 
Kuna kubwajinga lao lilisema wapinzani ni watoa taarifa waachwe wafanye Yao nashangaa saivi linazurura likiwaza maandamano ya 24 One 24!!
Waoga woote wajifungie ndani wakati wazalendo na wadai haki na uhuru wakiipigania Tz,
SHIME TUJITOKEZE 24 ONE 24...TANZANIA KWANZA WAHUNI TUPAKULE
 
WeWe ni ccm ya chadema hayakuhusu mtoto wa kiume unakuwa mshambenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…