Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anajua hayapo
 
Naona mpumbavu hoja zimekata umehamia mitusi
 
Lissu kapigwa nyundo ya kichwa mwenyewe kafunguwa bakuli.

Hakuna maandamano yanayokubalika duniani kote...
Una hoja!! Sikuungi mkono Kwa sababu wewe mapenzi yako na misimamo yako hufungamanishwa na Dini yako ya Mnyaazi!! Ndo maana huwezi kujitokeza kumkemea Shehe Mwaipopo hata kama kafanya jambo la kipumbavu!!
 
Mods naomba mrekebishe tarehe kwenye heading isomeke 24/01/2024 na sio 24/02/2024.
 
Oyoooo umeibuka leo kisa maandamno.. ukijijua hautakwenda hata upigwe ngumi nao.. kisa kiongozi wako mpendwa wa Chadrama. 😅😅😅

Pole kwa chama chako kukumqliza nguvu na humu umekuwa mpole miaka hii.. 🤗
 
Oyoooo umeibuka leo kisa maandamno.. ukijijua hautakwenda hata upigwe ngumi nao.. kisa kiongozi wako mpendwa wa Chadrama. 😅😅😅

Pole kwa chama chako kukumqliza nguvu na humu umekuwa mpole miaka hii.. 🤗
Hahahaaaa!!!!!!!
 
Nashauri FFU wasimchape rungu, watumie zile fimbo kama za shule, wawe wanamuwasha, wanamuwasha, wanamuwasha, rungu atavunjika
 
Makonda alikurupuka sana kusema Lissu kakimbia maandamano, miongoni mwa wanasiasa anaependa mikikimikiki pale Chadema Lissu ndo babalao. Ingekuwa ngumu sana kwa Lissu kutoshiriki maandamano hayo.Makonda ilibidi amzungumzie Lissu baada ya maandamano kama asingekuwepo kweli.
 
Baada ya Lissu kuthibitisha kuwepo ari ya vijana kushiriki imeongezeka mara dufu
 
Nashauri FFU wasimchape rungu, watumie zile fimbo kama za shule, wawe wanamuwasha, wanamuwasha, wanamuwasha, rungu atavunjika
Kazi ya FFU ni kulinda usalama , si kupiga watu
 
tunawasubiri rafiki zetu chadema tufanyenao walau usafi tarehe 24
 
Chalamila ,mtanangozi anayedondosha wanyalu

Kandoro alimudu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…