PostGE2025 Tundu Lissu: No Reforms, No Election ni kauli ya Freeman Mbowe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea.

Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe ambayo ilikubalika kuwa msimamo wa chama na kutangazwa rasmi hadharani October 12, 2024

Soma Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea leo Agosti 24, 2026

"Ilipofika Tarehe 03 December 2024 Kamati Kuu ya Chadema ilikaa na yakazaliwa maneno NO REFORMS, NO ELECTION.Tumechoka kuzika Watanzania ili CCM iendeleee kutawala kila rafiki atusikilize na kila anayetuona adui yetu atusikilize pia. Huo msimamo tuliutangaza Hadharani. Hiyo sio kauli mbiu ya TUNDU LISSU. Ni kauli mbiu ya Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe na tulikubaliana hivyo msimamo huo ulikuwa ni 10/12/2024 ndio ulitangazwa hadharani."

1787578555390.png
 
Panachimbika leo, yaani jamaa anamwqga yote hadharani
 
ok. endelea :pedroP:
 
Ni kweli
 
Haikuwa kauli ya Mbowe. Ilikuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chadema wa wakati ule. Mwenyekiti mpya hakulazimika kuendelea nayo. Aidha, inawezekana kuwa mbinu ambazo Mwenyekiti alitaka kutumia kufikia adhma hiyo zinatofautiana na za kwake.
Mwenyekiti wa CCM aliyepita alikuwa na kauli ya " Hapa Kazi Tuu". Aliyemfuata alisema "Kazi Iendelee".
Sijui utetezi huu utamsaidia vipi. Anapaswa ku own chama na sio kurushia mzigo walio mtangulia. Kama anaamini kuwa ni utetezi madhbuti, amuite Mbowe atoe ushahidi.

Amandla...
 
Lissu yuko sahihi rekodi zipo ni ajabu Mbowe na wenzie ghafla wakataka kutoka nje ya mstari na kuyakana maazimio ya kamati kuu ilhali waliona utapeli wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, ninaamini kwa lile kundi la madalali wangeitwa mezani CHADEMA ingeshiriki maigizo yaitwayo uchaguzi mkuu 2025

HEW5mW-bYAAAEBf.jpg
 
Haikuwa kauli ya Mbowe. Ilikuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chadema wa wakati ule. Mwenyekiti mpya hakulazimika kuendelea nayo. Aidha, inawezekana kuwa mbinu ambazo Mwenyekiti alitaka kutumia kufikia adhma hiyo zinatofautiana na za kwake.
Mwenyekiti wa CCM aliyepita alikuwa na kauli ya " Hapa Kazi Tuu". Aliyemfuata alisema "Kazi Iendelee".
Sijui utetezi huu utamsaidia vipi. Anapaswa ku own chama na sio kurushia mzigo walio mtangulia. Kama anaamini kuwa ni utetezi madhbuti, amuite Mbowe atoe ushahidi.

Amandla...

Mwenyekiti wa Chadema wakati ule jina lake alikua anaitwa nani tafadhali unaweza kutupa jina lake? Akili hauna wewe unajidhalilisha hapa tupe jina la huyo Mwenyekiti kama Sio Mbowe stupid
 
Back
Top Bottom