PostGE2025 Tundu Lissu: No Reforms, No Election ni kauli ya Freeman Mbowe

PostGE2025 Tundu Lissu: No Reforms, No Election ni kauli ya Freeman Mbowe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbowe kawaachia msala na sasa yupo upande wa pili akila raha huko, na anajiona ni mjanja wa siasa za kuingizana chaka
 
Mwenyekiti wa Chadema wakati ule jina lake alikua anaitwa nani tafadhali unaweza kutupa jina lake? Akili hauna wewe unajidhalilisha hapa tupe jina la huyo Mwenyekiti kama Sio Mbowe stupid
Unaposema ni kauli ya Mbowe, una maanisha ni ya kwake binafsi. Unaposema kuwa ni kauli ya Mwenyekiti ni kuwa alikuwa anakisemea chama anachoongoza. Kama hata hiyo tofauti hauioni basi sina la kujusaidia.

Ukinitukana tena, nakuweka kwenye "ignore list" yangu.

Amandla...
 
Lissu yuko sahihi rekodi zipo ni ajabu Mbowe na wenzie ghafla wakataka kutoka nje ya mstari na kuyakana maazimio ya kamati kuu ilhali waliona utapeli wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, ninaamini kwa lile kundi la madalali wangeitwa mezani CHADEMA ingeshiriki maigizo yaitwayo uchaguzi mkuu 2025

View attachment 3656474
Ni wapi na lini Mbowe amekana NRNE?

Amandla...
 
Haikuwa kauli ya Mbowe. Ilikuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chadema wa wakati ule. Mwenyekiti mpya hakulazimika kuendelea nayo. Aidha, inawezekana kuwa mbinu ambazo Mwenyekiti alitaka kutumia kufikia adhma hiyo zinatofautiana na za kwake.
Mwenyekiti wa CCM aliyepita alikuwa na kauli ya " Hapa Kazi Tuu". Aliyemfuata alisema "Kazi Iendelee".
Sijui utetezi huu utamsaidia vipi. Anapaswa ku own chama na sio kurushia mzigo walio mtangulia. Kama anaamini kuwa ni utetezi madhbuti, amuite Mbowe atoe ushahidi.

Amandla...

Nimekuuliza Mwenyekiti wa chama wakati huo jina lake alikua anaitwa nani?
 
Ana kitu cha tofauti ndani yake. wanaodhani wanamfahamu hawamfahamu hata tone!

more than a genius. Mungu amewapa waTanganyika zawadi ila kuna masheitwani wanajaribu kum'block
Tunapenda mno kutukuza binadamu wengine. Hii ina tofauti gani na wale waliomuita JPM Mungu?

Amandla...
 
Back
Top Bottom