Aliitoa kauli mbiu hii kama geresha tu ila kina Lissu wakaivalia njuga kisawasawa
Mzee wa chochote kitu, alitegemea kuvuna mabilioni ya ccm kutokana na slogan yake hiiHuo ndo ukweli alikua anazuga apewe chochote Mbowe alikua tapeli
Panachimbika leo, yaani jamaa anamwqga yote hadharaniMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea.
Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe ambayo ilikubalika kuwa msimamo wa chama na kutangazwa rasmi hadharani October 12, 2024
Soma Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea leo Agosti 24, 2026
"Ilipofika Tarehe 03 December 2024 Kamati Kuu ya Chadema ilikaa na yakazaliwa maneno NO REFORMS, NO ELECTION.Tumechoka kuzika Watanzania ili CCM iendeleee kutawala kila rafiki atusikilize na kila anayetuona adui yetu atusikilize pia. Huo msimamo tuliutangaza Hadharani. Hiyo sio kauli mbiu ya TUNDU LISSU. Ni kauli mbiu ya Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe na tulikubaliana hivyo msimamo huo ulikuwa ni 10/12/2024 ndio ulitangazwa hadharani."
Lissu ni kiumbe wa ajabu sanaPanachimbika leo, yaani jamaa anamwqga yote hadharani
Mzee wa chochote kitu, alitegemea kuvuna mabilioni ya ccm kutokana na slogan yake hii
ok. endeleaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea.
Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe ambayo ilikubalika kuwa msimamo wa chama na kutangazwa rasmi hadharani October 12, 2024
Soma Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea leo Agosti 24, 2026
"Ilipofika Tarehe 03 December 2024 Kamati Kuu ya Chadema ilikaa na yakazaliwa maneno NO REFORMS, NO ELECTION.Tumechoka kuzika Watanzania ili CCM iendeleee kutawala kila rafiki atusikilize na kila anayetuona adui yetu atusikilize pia. Huo msimamo tuliutangaza Hadharani. Hiyo sio kauli mbiu ya TUNDU LISSU. Ni kauli mbiu ya Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe na tulikubaliana hivyo msimamo huo ulikuwa ni 10/12/2024 ndio ulitangazwa hadharani."
hakika hakuwa mwana mapinduzi bali mchumia tumboNaaam muhuni akaisimamia kweli ni aibu
Ni kweliMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea.
Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe ambayo ilikubalika kuwa msimamo wa chama na kutangazwa rasmi hadharani October 12, 2024
Soma Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea leo Agosti 24, 2026
"Ilipofika Tarehe 03 December 2024 Kamati Kuu ya Chadema ilikaa na yakazaliwa maneno NO REFORMS, NO ELECTION.Tumechoka kuzika Watanzania ili CCM iendeleee kutawala kila rafiki atusikilize na kila anayetuona adui yetu atusikilize pia. Huo msimamo tuliutangaza Hadharani. Hiyo sio kauli mbiu ya TUNDU LISSU. Ni kauli mbiu ya Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe na tulikubaliana hivyo msimamo huo ulikuwa ni 10/12/2024 ndio ulitangazwa hadharani."
Haikuwa kauli ya Mbowe. Ilikuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chadema wa wakati ule. Mwenyekiti mpya hakulazimika kuendelea nayo. Aidha, inawezekana kuwa mbinu ambazo Mwenyekiti alitaka kutumia kufikia adhma hiyo zinatofautiana na za kwake.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea.
Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe ambayo ilikubalika kuwa msimamo wa chama na kutangazwa rasmi hadharani October 12, 2024
Soma Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea leo Agosti 24, 2026
"Ilipofika Tarehe 03 December 2024 Kamati Kuu ya Chadema ilikaa na yakazaliwa maneno NO REFORMS, NO ELECTION.Tumechoka kuzika Watanzania ili CCM iendeleee kutawala kila rafiki atusikilize na kila anayetuona adui yetu atusikilize pia. Huo msimamo tuliutangaza Hadharani. Hiyo sio kauli mbiu ya TUNDU LISSU. Ni kauli mbiu ya Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe na tulikubaliana hivyo msimamo huo ulikuwa ni 10/12/2024 ndio ulitangazwa hadharani."
Mbowe yeye kila alilokuwa akifanya alilenga hela. Very stupid Leader.Aliitoa kauli mbiu hii kama geresha tu ila kina Lissu wakaivalia njuga kisawasawa
Status yake na heshima yake vimeporomoka San hivi sasaMbowe yeye kila alilokuwa akifanya alilenga hela. Very stupid Leader.
Noma sana
Haikuwa kauli ya Mbowe. Ilikuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chadema wa wakati ule. Mwenyekiti mpya hakulazimika kuendelea nayo. Aidha, inawezekana kuwa mbinu ambazo Mwenyekiti alitaka kutumia kufikia adhma hiyo zinatofautiana na za kwake.
Mwenyekiti wa CCM aliyepita alikuwa na kauli ya " Hapa Kazi Tuu". Aliyemfuata alisema "Kazi Iendelee".
Sijui utetezi huu utamsaidia vipi. Anapaswa ku own chama na sio kurushia mzigo walio mtangulia. Kama anaamini kuwa ni utetezi madhbuti, amuite Mbowe atoe ushahidi.
Amandla...