PostGE2025 Tundu Lissu: No Reforms, No Election ni kauli ya Freeman Mbowe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbowe kawaachia msala na sasa yupo upande wa pili akila raha huko, na anajiona ni mjanja wa siasa za kuingizana chaka
 
Mwenyekiti wa Chadema wakati ule jina lake alikua anaitwa nani tafadhali unaweza kutupa jina lake? Akili hauna wewe unajidhalilisha hapa tupe jina la huyo Mwenyekiti kama Sio Mbowe stupid
Unaposema ni kauli ya Mbowe, una maanisha ni ya kwake binafsi. Unaposema kuwa ni kauli ya Mwenyekiti ni kuwa alikuwa anakisemea chama anachoongoza. Kama hata hiyo tofauti hauioni basi sina la kujusaidia.

Ukinitukana tena, nakuweka kwenye "ignore list" yangu.

Amandla...
 
Ni wapi na lini Mbowe amekana NRNE?

Amandla...
 

Nimekuuliza Mwenyekiti wa chama wakati huo jina lake alikua anaitwa nani?
 
Ana kitu cha tofauti ndani yake. wanaodhani wanamfahamu hawamfahamu hata tone!

more than a genius. Mungu amewapa waTanganyika zawadi ila kuna masheitwani wanajaribu kum'block
Tunapenda mno kutukuza binadamu wengine. Hii ina tofauti gani na wale waliomuita JPM Mungu?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…