Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shetani la kike. Utapewa ukuu wa wilayaTundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini
Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa
Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka
SIrro asivyochelewa kulia atakuwa akisikiliza analia sana usiku[emoji28][emoji28]...Kumbuka alivyolizwa na Makonda[emoji1787]Jamaa anajua kuwakera polisi huyu, na anawakera kisawasawa. Akiona IGP Sirro amekaa kwa amani siku mbili tatu, anachomoa betri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunduru..khadija akukweti ni binti wa marehemu juma jamaldin akukweti alipata kuwa waziri na mbunge toka majimbo ya kusini.
Upuuzi mtupulaana ya lissu iliondoka na meko
Hivi kuna binadamu mwenye ufahamu Tanzania akasema kuna polisi wazuri. Ni upunguani Tu ndio utakaokuongoza kuwaona ni wazuri.Watu wenye matamanio ya kufanya uhalifu lazima wawachukie polisi wazuri, iko hivyo siku zote maana wanajua ni kikwazo kwao. Na huyu Lissu alifanya juhudi nyingi kujaribu kuwaprovoke polisi na watu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa kampeni zake 2020, lakini aliambulia patupu/olaa. Walienda naye mdogo mdogo hadi dakika za majeruhi wakampitia na ule mtama unakufanya uangukie kisogo au kidefu. Mengine ni historia.
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma waliompatia huduma ya kwanza na wale wa Nairobi Hospital - kule Nairobi Kenya waliookoa uhai wake na leo ni mzima wa afya lakini akiwa na ulemavu...
Shukrani za kipekee kwa madaktari wa nchini Ubelgiji ambao wameendelea kukarabati mifupa ya nyonga na miguu yake iliyovunjwa vunjwa vibaya kwa risasi ingalau kujaribu kurudisha shape yake ya kawaida....
Endelea kumsikiliza anapojibu maswali ya watu mbalimbali. Pamoja na mengine, amejibu swali la iwapo familia yake iliwapo kupokea vitisho au la...
Enjoy yourself
View attachment 1931111
Shetani la kike. Utapewa ukuu wa wilaya
Vipi? Bado anatafuta huruma ya kupigwa risasi? MPaka lini? Yuko hai mwambieni asonge mbele na maisha. Wapo waliopata makubwa kuliko yeye na wanadunda na maisha. Huwezii kuzeeka unalalamikia yaliyokupata utotoni.Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma waliompatia huduma ya kwanza na wale wa Nairobi Hospital - kule Nairobi Kenya waliookoa uhai wake na leo ni mzima wa afya lakini akiwa na ulemavu...
Shukrani za kipekee kwa madaktari wa nchini Ubelgiji ambao wameendelea kukarabati mifupa ya nyonga na miguu yake iliyovunjwa vunjwa vibaya kwa risasi ingalau kujaribu kurudisha shape yake ya kawaida....
Endelea kumsikiliza anapojibu maswali ya watu mbalimbali. Pamoja na mengine, amejibu swali la iwapo familia yake iliwapo kupokea vitisho au la...
Enjoy yourself
View attachment 1931111
Lazima uwe umelaaniwa kuwakubali polisi wa TzHivi kuna binadamu mwenye ufahamu Tanzania akasema kuna polisi wazuri. Ni upunguani Tu ndio utakaokuongoza kuwaona ni wazuri.
Upuuzi mtupu
Tundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini
Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa
Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka
Akifa mzikeni kwao Singida ndani ya dk 30, sitaki maiti ije Dar na hakuna rambirambi za kitaifa.laana ya lissu iliondoka na meko
kajengee uzio wa kaburi chatialLisu acha kudanga njoo ulime Ikungi
Akifa mzikeni kwao Singida ndani ya dk 30, sitaki maiti ije Dar na hakuna rambirambi za kitaifa.
mwambie sirro gari iliyofanya shambulio la lissu ni Nisan patrol T 932 AKN tunaweza kuanzia hapo
Hizi blah blah blah huku mitandaoni hazina maana. Hazimpi Tundu wala watanzania haki yao kuhusiana na tukio la Tundu
Tangu ameanza kuongea nini kimemfaidi yeye au wewe?
Mwambieni asimamie hili jambo, ukweli uwekwe kibarazani. Itawasaidia wengi kupona na kufanya maamuzi sahihi kuliko kusubiria kampeni ndio aje