Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

Yaani mada inayomhusu Lisu hadi sasa kurasa ya pili tu? Ha ha ha jamaa ameshaporomoka, ingawa makamanda uchwara hawapendi kukubali.
 
Tundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa

Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka
Shetani la kike. Utapewa ukuu wa wilaya
 
Jamaa anajua kuwakera polisi huyu, na anawakera kisawasawa. Akiona IGP Sirro amekaa kwa amani siku mbili tatu, anachomoa betri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SIrro asivyochelewa kulia atakuwa akisikiliza analia sana usiku[emoji28][emoji28]...Kumbuka alivyolizwa na Makonda[emoji1787]
 
Watu wenye matamanio ya kufanya uhalifu lazima wawachukie polisi wazuri, iko hivyo siku zote maana wanajua ni kikwazo kwao. Na huyu Lissu alifanya juhudi nyingi kujaribu kuwaprovoke polisi na watu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa kampeni zake 2020, lakini aliambulia patupu/olaa. Walienda naye mdogo mdogo hadi dakika za majeruhi wakampitia na ule mtama unakufanya uangukie kisogo au kidefu. Mengine ni historia.
Hivi kuna binadamu mwenye ufahamu Tanzania akasema kuna polisi wazuri. Ni upunguani Tu ndio utakaokuongoza kuwaona ni wazuri.
 
Huyu dogo anadharau sana..
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....

Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma waliompatia huduma ya kwanza na wale wa Nairobi Hospital - kule Nairobi Kenya waliookoa uhai wake na leo ni mzima wa afya lakini akiwa na ulemavu...

Shukrani za kipekee kwa madaktari wa nchini Ubelgiji ambao wameendelea kukarabati mifupa ya nyonga na miguu yake iliyovunjwa vunjwa vibaya kwa risasi ingalau kujaribu kurudisha shape yake ya kawaida....

Endelea kumsikiliza anapojibu maswali ya watu mbalimbali. Pamoja na mengine, amejibu swali la iwapo familia yake iliwapo kupokea vitisho au la...

Enjoy yourself
View attachment 1931111
 
Vipi? Bado anatafuta huruma ya kupigwa risasi? MPaka lini? Yuko hai mwambieni asonge mbele na maisha. Wapo waliopata makubwa kuliko yeye na wanadunda na maisha. Huwezii kuzeeka unalalamikia yaliyokupata utotoni.
 
Nasikia bwana màgufool alitoa amri ya kuuwawa Lissu siku 3 kabla hajafikwa na umauti pale mzena
 
Tundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa

Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka

mwambie sirro gari iliyofanya shambulio la lissu ni Nisan patrol T 932 AKN tunaweza kuanzia hapo
 
Hizi blah blah blah huku mitandaoni hazina maana. Hazimpi Tundu wala watanzania haki yao kuhusiana na tukio la Tundu

Tangu ameanza kuongea nini kimemfaidi yeye au wewe?

Mwambieni asimamie hili jambo, ukweli uwekwe kibarazani. Itawasaidia wengi kupona na kufanya maamuzi sahihi kuliko kusubiria kampeni ndio aje
 
bibie unatumia kilevi gani vile?
 
Back
Top Bottom