Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Kwa uungwana ninachoweza kusema ni kuwa hapo kuna ka ugunduzi wa divide and rule, na hilo huoneka kwa watu wenye uwezo wa kuona mbali, wanachofanya mataifa ya ughaibuni huwa wanatumia vibaraka kama wakina Lisu ku penetrate hiyo policy ya divide and rule.
divide your enemy so you can reign approach. Tumefikia katika hii hatua kweli TANZANIA
 
Lissu kwanini anaropokaropoka hovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.
Hata kama anaiba bado asujudiwe tu kisa bado rais. Acheni kuabudu sanamu, asiabudiwe yeyote ila Mungu tu.
 
Hoja ya nguvu!
Hata ukiteteaje Magufuli ni jizi la rambirambi. Anatia aibu Rais mzima Unakuw mroho kiasi hicho? UNAIBA RAMBIRAMBI TENA BILA AIBU na cheo chako kibwa.

So low and pathetic.

HATUFAI
 
Poor argument from a poor mind. Mivhango ya watu haijengi hospitali, shule wala barabara wala daraja.

Wakati wa maafa, miundombinu inajengwa kwa pesa ya maafa ambaye huwa kwenye bajeti ya Waziri Mkuu.

Kilichofanyika, ni wizi wa hali ya juu. Na ni dhuluma kwa wahanga wa tetemeko.

Pesa ilichangwa na wananchi kwa nia ya kuwanusuru na dharula za kimaisha baada ya maafa.

Kama nakumbuka vizuri kauli mbiu ilikuwa ni kuchangai victims wa tetemeko la aridhi Mkoani Kagera, shule za Sekondari za Ihungo na Nyakato zilikarabatiwa na nyingine kujengwa upya ba Serikali za Uingereza na Japan hata wafanya biashara mashuhuri DSM walichangia ujezi wa Sekondary tajwa hapo juu - victims wa tetemeko la aridhi waliachwa solemba kabisa licha ya ofisi za kibalozi nchini, taasisi za kumataifa kutoa michango ya kuwasaidia walengwa hata Raid Kenyatta alituma magari ya kijeshi yaliyo sheheni vifaa vya kusaidia wananchi wa Mkoa wa Kagera - sikumbuki kama jeshi letu lili- mobilize task force ya kusambaza misaada kwa wana Kagera walio pitiwa na janga la mtetemeko - hatutaki kusema mengi lakini zoezi zima lilisheheni walakini mkubwa, kumbukeni wana Kagera ni binadamu pia - hivi kuna mantiki gani kutoa msaada kwa waathirika wa floods huko Msumbiji lakini mnawaacha wana Kagera licking their wounds - hii inaleta picha gani?
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.

Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi kusipeleka kujenga reli na mabarabara akisema ati," SERIKALI YAKE YA CCM HAIKULETA TETEMEKO LA ARDHI".
View attachment 1580936

https://www.jamiiforums.com/data/at...a_Kagera.__Wananchi_wa_Kagera__480_X_480_.mp4

Hii tabia ya uropokaji wa Rais Magufuli kwa Sasa una mgharimu vibaya Sana!
Hili doa la kula rambirambi za wanaKagera litamgharimu maisha yake yote na litampa laana ya milele.
 
Nchi yetu ni ya Amani. Mungu atulinde.
Kila jambo huwa linatimia kwa nia, Ili Mungu atulinde yatupasa kuwa na nia thabiti ya kumpigia kura mwenye maono mema na mwenye uwezo wa kuidumisha na kuilinda Amani yetu huyo si mwigine ni Dkt.John Joseph Pombe Magufuli.
Chagua CCM, Chagua Magufuli
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.

Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi kusipeleka kujenga reli na mabarabara akisema ati," SERIKALI YAKE YA CCM HAIKULETA TETEMEKO LA ARDHI".
View attachment 1580936

https://www.jamiiforums.com/data/at...a_Kagera.__Wananchi_wa_Kagera__480_X_480_.mp4
Ila lissu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣✔️
 
Spana za huyu Lissu mama atazivumilia kweli[emoji3]?
 
Back
Top Bottom