Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

divide your enemy so you can reign approach. Tumefikia katika hii hatua kweli TANZANIA
 
Lissu kwanini anaropokaropoka hovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.
Hata kama anaiba bado asujudiwe tu kisa bado rais. Acheni kuabudu sanamu, asiabudiwe yeyote ila Mungu tu.
 
Hoja ya nguvu!
Hata ukiteteaje Magufuli ni jizi la rambirambi. Anatia aibu Rais mzima Unakuw mroho kiasi hicho? UNAIBA RAMBIRAMBI TENA BILA AIBU na cheo chako kibwa.

So low and pathetic.

HATUFAI
 

Kama nakumbuka vizuri kauli mbiu ilikuwa ni kuchangai victims wa tetemeko la aridhi Mkoani Kagera, shule za Sekondari za Ihungo na Nyakato zilikarabatiwa na nyingine kujengwa upya ba Serikali za Uingereza na Japan hata wafanya biashara mashuhuri DSM walichangia ujezi wa Sekondary tajwa hapo juu - victims wa tetemeko la aridhi waliachwa solemba kabisa licha ya ofisi za kibalozi nchini, taasisi za kumataifa kutoa michango ya kuwasaidia walengwa hata Raid Kenyatta alituma magari ya kijeshi yaliyo sheheni vifaa vya kusaidia wananchi wa Mkoa wa Kagera - sikumbuki kama jeshi letu lili- mobilize task force ya kusambaza misaada kwa wana Kagera walio pitiwa na janga la mtetemeko - hatutaki kusema mengi lakini zoezi zima lilisheheni walakini mkubwa, kumbukeni wana Kagera ni binadamu pia - hivi kuna mantiki gani kutoa msaada kwa waathirika wa floods huko Msumbiji lakini mnawaacha wana Kagera licking their wounds - hii inaleta picha gani?
 
Hili doa la kula rambirambi za wanaKagera litamgharimu maisha yake yote na litampa laana ya milele.
 
Nchi yetu ni ya Amani. Mungu atulinde.
Kila jambo huwa linatimia kwa nia, Ili Mungu atulinde yatupasa kuwa na nia thabiti ya kumpigia kura mwenye maono mema na mwenye uwezo wa kuidumisha na kuilinda Amani yetu huyo si mwigine ni Dkt.John Joseph Pombe Magufuli.
Chagua CCM, Chagua Magufuli
 
Ila lissu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣✔️
 
Spana za huyu Lissu mama atazivumilia kweli[emoji3]?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…