Kwa Staha kama binadamu sio kwa.kejeli na matusiLissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuwa "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.
Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.
Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe.
Rais ni kiongozi wa kisiasa na ametokana na siasa.Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuwa "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.
Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.
Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe.
Baadae magufuli naye akakimbilia wapi?Wakati wa Magufuli alikimbia na kwenda kulialia kwa wazungu. Bahati yake huu utawala wa Dr. Samia🤣🤣🤣
Na wewe unakimbilia wapi?Baadae magufuli naye akakimbilia wapi?
Bwana Magonjwa mtambuka jiepushe na mambo ya Dhihaka sisi sote ni binadamu.Na wewe unakimbilia wapi?
Kwani hujui?... sisi sote ni binadamu.
Basi fanya siasa safi. TutaziachaKwani hujui?
Siasa safi ndio nini?Basi fanya siasa safi. Tutaziacha
Uache kukejeli na dhihakaSiasa safi ndio nini?
Wewe sindio ulitaka kumtoa uhai wakeWakati wa Magufuli alikimbia na kwenda kulialia kwa wazungu. Bahati yake huu utawala wa Dr. Samia🤣🤣🤣
Toa kibanzi jichoni kwako kwanza.Uache kukejeli na dhihaka
😅😅😅SawaToa kibanzi jichoni kwako kwanza.
Uliniona?Wewe sindio ulitaka kumtoa uhai wake
Haya sasa. Una undugu na DAB?Uliniona?
Kwa hiyo?Haya sasa. Una undugu na DAB?