Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

Huyu Tundu Lissu ni hatari sana kwa usalama wa Tanzania kwanini Serikali inamruhusu mkimbizi anayeishi Belgium kufanya siasa hapa Tanzania
Kwa sababu wao ndio chanzo cha ukimbizi wake na iko wazi.
 
Porojo
 
Hao wahaini bora walivyo kamatwa.

Siasa za matusi na kudhalilisha viongozi ni ujinga.

Mungu ibariki DP world.
Kweli kabisa, hao siyo wanasiasa, njia yao ya kuvutia pesa kwa mabwana zao ni kuonesha kuwa Tanzania kuna matatizo, kwa hiyo ni lazima wasuke matatizo yasiyiyo kuwepo, hao na mafundi wa tabata hawana tofauti.

Wasiwachiwe kabisa wakaiharibu amani tuliyonayo kwa uongo wao.
 
Serikali za Kiafrika ni za kimabavu...walioonja madaraka huwa ni wakali kama pilipili pale maslahi yao yanapoguswa...
 
Historia ya namna huyu mama alivyopatikana akawa makamu wa Magufuli anaijua ni JK.

Historia ya huyu mama kuchukua nafasi ya JPM anayeijua ni Makamba, Nape na JK.

Endeleeni kuwaza na kujiuliza tunaelekea wapi na tunapelekwa huko na nani!
 
ila wanapenda mashago kama wao
 
Huyu yuko sawa kweli?
 
-Mtanganyika ndio anatumika kuwakandamiza Watanganyika wenzie wakati akijua yeye naye ni mwenyeji wa Rorya. Tangu lini polisi Tanzania wanauwezo wa kuvizia mwananchi kumkamata kama jambazi katikati ya msitu? Hao polisi waliowakamata wananchi tajwa ni majambazi wao. Tangu lini polisi wakaweza kudhibiti uhaini badala ya kuwashirikisha jeshi kama sio siasa ni nini?

Serikali waachieni hao wanaharakati haraka vinginevyo wananchi wa Tanganyika na dunia wataadhibu vibaya

Free#Mwabhukusi, Mdude & Masonga and stop this animosity transgression
 
Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Zile risasi zilichemka.... Safari hii watumie mabomu kabisa.... Au nasema uongo ndugu zangu?

Basi hili nalo mkalitazame....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…