Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

👇

---

Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:

Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.

They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!

Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.

Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
Mlikuwa na dharau sana nyie,Rais Kamatia hapo hapo , political brutality Wala Haina shida Africa.

Magufuli aliharibu kote kwenye uchumi na na siasa ila Kwa Africa , kuwashughulikia Wapinzani hakuna shida yeyote kuanzia Senegal, Zimbabwe,Rwanda,Uganda Hadi Egypt.

Wapinzani wanashughulikiwa na Uchumi unafanya vizuri.
 
Hautapita muda, mama mzururaji hataonekana kwenye mataifa ya wazungu. Safari zake zitaishia Uarabuni, China na Urusi. Hatagusa mataifa ya watu wastaarabu. Na muda siyo mrefu, mama mikopo hataweza kupata mkopo wala msaada toka kwa mataifa wastaarabu.

Wazungu hawapendi mtu mnafiki na dikteta wa kujificha.
Akikosekana kwenye mataifa ya Wazungu itakuwaje?

Mama akikosa mikopo ndo umekosa wewe, wanao na jamaa zako. Hilo si la kuliomba,

Kwenye hili la wazugu kutotaka unafiki fikiria vizuri. Nakumbusha tu kwamba kwao wazungu maslahi ya taifa lao ndo kipaumbele na hawana habari na ugomvi wenu mradi bandari watafaidika nayo
 
Kumbukeni alichowahi kusema Humphrey Pole pole, hii bado ni awamu ya tano, na siyo ya sita kama tunavyoambiwa.
Kumbukeni alikotolewa Tulia na kufanywa kuwa naibu spika, leo imedhihirika alivyo mweupe, angalau angeomba hata ushauri kwa mama Anna Makinda, kwa kuwa bado yupo na exposure yake kwenye mambo ya utawala huwezi kumlinganisha na Tulia,.
Kumbukeni kesi ya Mbowe, ilivyoanzishwa na ilivyoendeshwa ni aibu tupu. Kumbukeni alivyoondoka Ndugai,alichokisema kama maoni yake tu kilitosha kumnyang'anya uspika uspika wake? Mbona Marehemu Sita alisimamia hoja nzito mpaka kumng'oa Waziri Mkuu wakati ule Mzee Lowasa, mbona Kikwete alimvumilia,mpaka uchaguzi ukafika!!
Kama alichowahi kusema Prof. PLO Lumumba,nyani ni walewale kilichobadilika ni misitu. Hii ni awamu ya tano, kinachobadilsha awamu ni uchaguzi mkuu basi.Tuzidi kumuomba Mungu tunaamini atatuvusha.
 
👇

---

Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:

Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.

They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!

Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.

Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
kwa ni si alishawaambia yeye na magu ni kitu kimoja au mliamua kujisahaulisha tu?
 
Kwendraaaa huko. Jiteteeni kwa hoja siyo kutisha watu
Namshauri Tundu Lissu aachane na kufanya rejea ya mabaya ya JPM anaharibu ambapo itachukua miongo kadhaa kuondoa fikra chanya ndani ya wananchi kumhusu JPM; for now he has to focus straight away to the exiisting serpent actions.
 
Maendeleo uchwara hayo. Nyie endeleeni na Uchawa wenu tu. Maza yuko busy wanapiga na madeal na Wajomba zake.
 
Akikosekana kwenye mataifa ya Wazungu itakuwaje?

Mama akikosa mikopo ndo umekosa wewe, wanao na jamaa zako. Hilo si la kuliomba,

Kwenye hili la wazugu kutotaka unafiki fikiria vizuri. Nakumbusha tu kwamba kwao wazungu maslahi ya taifa lao ndo kipaumbele na hawana habari na ugomvi wenu mradi bandari watafaidika nayo
Ila jamaa anaabudu sana wazungu.
 
Mlikuwa na dharau sana nyie,Rais Kamatia hapo hapo , political brutality Wala Haina shida Africa.

Magufuli aliharibu kote kwenye uchumi na na siasa ila Kwa Africa , kuwashughulikia Wapinzani hakuna shida yeyote kuanzia Senegal, Zimbabwe,Rwanda,Uganda Hadi Egypt.

Wapinzani wanashughulikiwa na Uchumi unafanya vizuri.
Tatizo lenu mlikuwa mnapiga sana kelele kuhusu Magufuli na kukuza mambo tu.
 
Tundullisu huwa anachuki sana Sana JPM hivi ukatili wa Mkapa, Kikwetu hakuuona mpaka JPM awe case study ya kila kitu kha!
Ukatili wa Mkapa na kikwete haujafikia hata robo ukatili aliofanya Magufuri, itoshe kusema magu alikuwa dikteta.
 
Back
Top Bottom