Pre GE2025 Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kuna bango nimemwona mzee wa konyagi ndogo na mnyika kifua mbele wameweka pozi mbele ya meza kuu wapigwe picha..walamba asali bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…