sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Anayefanya kazi ni serikali sio chama, na yapo majimbo yanaongozwa ccm toka uhuru mpaka leo lakn wananchi wake bado wana-share maji na Ng'ombe.Kuna lipi jipya walifanya kwenye majimbo yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayefanya kazi ni serikali sio chama, na yapo majimbo yanaongozwa ccm toka uhuru mpaka leo lakn wananchi wake bado wana-share maji na Ng'ombe.Kuna lipi jipya walifanya kwenye majimbo yao?
Naunga mkono hojaMniunganishe kwenye kesi, hapa Samia anatutapeli. Nampa siku 2 ashushe hayo mabango
Kafirisika kisiasa huyo! Hivi kweli mapichapicha yanazuia maendeleo ya watu?Ila huyu mwamba ni chuma kweli kweli
haki hupiganiwa haiombwiDah!Ila Lissu anapenda kesi!Munyampaa Lissu!
mke wa mtu ake nyumbani na mume wake akitoka nje atakutana na wanaume za watuWakat mwingine NI aibu kundi zima la wanaume kupambana na mke wa mtu.
muulize makonda kuhusu picha huko arusha kamuweka mtu ndani bila dhamanaKafirisika kisiasa huyo! Hivi kweli mapichapicha yanazuia maendeleo ya watu?
Yaani hiyo iwe ajenda ya kikao cha kamati kuu,kweli???