Pre GE2025 Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
chadema + ccm nyinyi nyote kenge maji tu, cdm hata mkipewa nchi mtakuwa kama ccm tu wabinafsi na kuangalia familia zenu.
Mimi ninacho Amini kama CHADEMA itapata nafasi ya kuchukua nchi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Na watafanya kazi kwa damu na Jasho ili kuaminisha Watanzania kwamba miaka hiyo yote 60 kwamba chama kilichokuwa kinaongoza si sahihi.

Lakini Kwa sababu CCM huwa wanashinda kwa Wizi ila si kura za wanachi, ni ngumu sana bado.
 
Mimi niwe mkweli.
Sina chama! Ila ukiniuliza kuhusu Chadema; kiukweli namkubali Lissu tu. Atakapo pita Lissu mimi nitaenda naye!
 
Mniunganishe kwenye kesi, hapa Samia anatutapeli. Nampa siku 2 ashushe hayo mabango
Tuwekeeni hayo mabango tuyaone, vinginevyo ni porojo tu, magufuli aliyapiga marufuku wakamwita dikteta uchwara, leo wamewekewa wanasema wanahadaliwa nawasiwasi tunasumbuka na mgonjwa
 
Mimi ninacho Amini kama CHADEMA itapata nafasi ya kuchukua nchi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Na watafanya kazi kwa damu na Jasho ili kuaminisha Watanzania kwamba miaka hiyo yote 60 kwamba chama kilichokuwa kinaongoza si sahihi.

Lakini Kwa sababu CCM huwa wanashinda kwa Wizi ila si kura za wanachi, ni ngumu sana bado.
Kuna lipi jipya walifanya kwenye majimbo yao?
 
Mimi ninacho Amini kama CHADEMA itapata nafasi ya kuchukua nchi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Na watafanya kazi kwa damu na Jasho ili kuaminisha Watanzania kwamba miaka hiyo yote 60 kwamba chama kilichokuwa kinaongoza si sahihi.

Lakini Kwa sababu CCM huwa wanashinda kwa Wizi ila si kura za wanachi, ni ngumu sana bado.
itachukua muda sana kwasababu wakiingia hawatajali wananchi, itabidi kwanza wajitengenezee wao kila nyanja alafu wanachi ndio watafuata sasa unahisi wataacha kujiangalia wao ?. WOTE WALE WALE TU, imeshandikw ivyo mpka mwisho wa ulimwengu.
 
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango nchi nzima ili aoneshe kuwa wao na yeye wapo sawa, kitu ambacho mwanasiasa huyu amekikataa hadharani.

"Hatujamruhusu yeye kufanya matangazo ya picha zetu namna hiyo na kufaidika kiasiasa kwa kuwaaminisha watanzania kwamba yeye hana shida na sisi, ana shida kubwa na sisi ndiyo maana tunaandamana" amesema Lissu.

Amesema mojawapo ya ajenda za kikao cha kamati kuu kitakachoketi hivi karibuni ni kumtaka ayatoe mabango hayo, la sivyo watamshtaki kwa kesi ya Madai na si Jinai kwani upande huo Rais Samia ni saizi yao.

"Rais huwa hashtakiwi kwenye Jinai, kwenye madai, aaaah saizi yetu" Lissu.

Kwani Chadema wanaandamania nini? Picha au nini?
 
itachukua muda sana kwasababu wakiingia hawatajali wananchi, itabidi kwanza wajitengenezee wao kila nyanja alafu wanachi ndio watafuata sasa unahisi wataacha kujiangalia wao ?. WOTE WALE WALE TU, imeshandikw ivyo mpka mwisho wa ulimwengu.
Punguza kuropoka. Usijifanye Nabii kwa vitu usivyovijua. Ukiulizwa kesho yako itakuwaje unajua?. Ila ya CHADEMA unayajua. Punguza unafiki.
 
Tuwekeeni hayo mabango tuyaone, vinginevyo ni porojo tu, magufuli aliyapiga marufuku wakamwita dikteta uchwara, leo wamewekewa wanasema wanahadaliwa nawasiwasi tunasumbuka na mgonjwa
Nenda stendi ya Magufuli utaliona Bango kubwa la Samia na Viongozi wa CHADEMA, halafu njoo stendi ya Nyegezi Mwanza utaona Bango kubwa la hivyo.
 
Back
Top Bottom