passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mimi ninacho Amini kama CHADEMA itapata nafasi ya kuchukua nchi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana. Na watafanya kazi kwa damu na Jasho ili kuaminisha Watanzania kwamba miaka hiyo yote 60 kwamba chama kilichokuwa kinaongoza si sahihi.chadema + ccm nyinyi nyote kenge maji tu, cdm hata mkipewa nchi mtakuwa kama ccm tu wabinafsi na kuangalia familia zenu.
Lakini Kwa sababu CCM huwa wanashinda kwa Wizi ila si kura za wanachi, ni ngumu sana bado.