econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Asiyejua maana haambiwi maanaKwani Chadema wanaandamania nini? Picha au nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiyejua maana haambiwi maanaKwani Chadema wanaandamania nini? Picha au nini?
kwani wewe unajiona ndio nani hapa em toka zako hapa who are u?Punguza kuropoka. Usijifanye Nabii kwa vitu usivyovijua. Ukiulizwa kesho yako itakuwaje unajua?. Ila ya CHADEMA unayajua. Punguza unafiki.
Vihoja vipi?. Kutumia picha ya mtu bila ridhaa yake ni kosa.chadema kwa vihoja hapana kwa kweli
hayo ndio matatizo ya watanzaniaVihoja vipi?. Kutumia picha ya mtu bila ridhaa yake ni kosa.
Mimi nimesema Lissu,wewe nae unatoka huko unadandia mambo tuu.Sio wewe ndio umewehuka.
Ujinga tuu wa wasiojitambua 🤣🤣Asiyejua maana haambiwi maana
Hizi hizi wakina Peter Kibatala watawafundisha na kuwarusha mchaka mchaka mpaka waelewe tu.Mahakama hizi tusizo nazo Imani ? Au its the act that Counts....
Na akikutwa na hatia na ikapangwa alipe fidia si ni mimi na yule ndio tutalipa ?
chadema + ccm nyinyi nyote kenge maji tu, cdm hata mkipewa nchi mtakuwa kama ccm tu wabinafsi na kuangalia familia zenu.
Ujinga tuu wa wasiojitambua 🤣🤣
Wakat mwingine NI aibu kundi zima la wanaume kupambana na mke wa m
Mwambieni huyu malikia wenu utapeli sasa basiKwani Chadema wanaandamania nini? Picha au nini?
Lukasi Mwashambwa akisikia mamake anataka kufikishwa mahakamani haki ya nani atabubujikwa na machozi kama bomba la majitaka la DAWASA! 😁Waluga luga na Chawa wa Mama, Sijui hapo walipo wanajisikiaje.
Hawapambani na mke wa mtu, wanapambana na kiongozi.Wakat mwingine NI aibu kundi zima la wanaume kupambana na mke wa mtu.
Utapeli upi? Yaani mnaaandamania nini? Ndio maana Mwendazake alikuwa anawafyekagaWanapambana na
Mwambieni huyu malikia wenu utapeli sasa basi
Yuko wapi sasa?Utapeli upi? Yaani mnaaandamania nini? Ndio maana Mwendazake alikuwa anawafyekaga
Kafa ila aliwafyeka.Swali mnaaandamania nini hasa?Yuko wapi sasa?