Pre GE2025 Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

Pre GE2025 Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Punguza kuropoka. Usijifanye Nabii kwa vitu usivyovijua. Ukiulizwa kesho yako itakuwaje unajua?. Ila ya CHADEMA unayajua. Punguza unafiki.
kwani wewe unajiona ndio nani hapa em toka zako hapa who are u?
 
Hivi haya mabango hata kule visiwani Zanzibar yapo au ni hapa hapa Tanganyika tu? 😂😂😂
 
Mahakama hizi tusizo nazo Imani ? Au its the act that Counts....

Na akikutwa na hatia na ikapangwa alipe fidia si ni mimi na yule ndio tutalipa ?
 
Mahakama hizi tusizo nazo Imani ? Au its the act that Counts....

Na akikutwa na hatia na ikapangwa alipe fidia si ni mimi na yule ndio tutalipa ?
Hizi hizi wakina Peter Kibatala watawafundisha na kuwarusha mchaka mchaka mpaka waelewe tu.
 
chadema + ccm nyinyi nyote kenge maji tu, cdm hata mkipewa nchi mtakuwa kama ccm tu wabinafsi na kuangalia familia zenu.

..ndio maana mnaambiwa badilisheni Katiba ili iwalinde dhidi ya viongozi na wanasiasa wabinafsi, wezi, mafisadi, na wauwaji.
 
Ujinga tuu wa wasiojitambua 🤣🤣

..Chadema wana haki ya kukataa mabango yenye picha zao na Samia.

..Lakini kwasababu mahakama na majaji ni wa Ccm basi hawawezi kufanikiwa kwa kupeleka madai yao mahakamani.

..Kwa upande mwingine, ni nani alimshauri Samia kutengeneza haya mabango?

..Ni mabango yanayoeneza uongo, na Samia hakupaswa kuyaruhusu.
 
Big up mh Lissu hata mimi nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anayekataa kila hoja mnayompelekea aendelee kutumia sura zenu kudhihirishia jumuiya ya kimataifa kwamba hakuna matatizo baina yake na nyie.Hata mnavyoandamana wanawashangaa.Hayo mabango waweke picha za akina Lipumba na yule mzee wa ubwabwa.Lissu msikubali kudhalilishwa for political gains
 
Back
Top Bottom