Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter:

Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi ya Jaji wa Mahakama Kuu yetu
 
Mama anaweza kuendelea na zoezi la kumuapisha mteule wake huyu, lakini iko siku atakuja kujilaumu na kukumbuka haya yasemwayo kumuhusu huyo mteule wake na itakuwa ni too late na hatokwepa lawama.
 
Lini Biswalo Mganga anaapishwa?

Kachape kazi

Na alipotajwa tu Mbowe madawa ya kulevya yakaisha kabisa mtaani.

Hata mitaa ya ufipa maeneo ya manyanya mateja waliisha kabisa
 
Spana spana!! ziendelee mpaka pale nchi itakapokuwa kwenye mstari!
 
Wachambue hapo Kama umewajua[emoji2][emoji2][emoji2]
IMG-20210514-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom