Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter:
Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi ya Jaji wa Mahakama Kuu yetu