Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mkuu kwa hali iliyopo sasa usishangae siku 1 mama mwenye nyumba anafata ushauri huu. Mtetezi wa wanyonge kaondoka, kaja mtetezi wa wapinzani.Aache kumpangia mkuu wa nchi!
Tatizo lenu ni kudhani kwamba mkuu wa nchi ni MunguAache kumpangia mkuu wa nchi!
Umemaliza?Tatizo lenu ni kudhani kwamba mkuu wa nchi ni Mungu
Kumbe ni mavumbi tu anaenda chooni na kuchuchuma kisha kunya
Na akifa anatafunwa na funza kama sisi.