Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Sasa kuchukua form na kuirudisha kuna tatizo? Lissu atarudisha form atalindwa na FBI 24/7 with High Tech surveillance,Full loaded,Bullet proof car na clothes,Arms Detectors etcLabda kama ni uraisa wa ubelgiji
Fomu ya chadema tu amejaza akiwa kenya
Fomu ya urais wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ni lazima mgombea achukue na kuirudisha mwenyewe
Wewe ndiyo utamuzuia kuja nchini!? Au unakesha ukiomba asije ili Magufuli apunguze presha za kushindwa uchaguzi mkuu! Maana inaonyesha mpaka wafuasi wake hofu imewazidia!Labda kama ni uraisa wa ubelgiji
Fomu ya chadema tu amejaza akiwa kenya
Fomu ya urais wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ni lazima mgombea achukue na kuirudisha mwenyewe
Afadhali mara mia Membe, Lissu ni zaidi ya hatati kwa Magufuli!Membe na Lissu ndio Kiboko ya "MTU FURANI".
Sasa kuchukua form na kuirudisha kuna tatizo? Lissu atarudisha form atalindwa na FBI 24/7 with High Tech surveillance,Full loaded,Bullet proof car na clothes,Arms Detectors etc
'No hate no fear'! Hii ni kauli kutoka kwa watu wanaoumizwa na utawala wa Magufuli!Kwa busara na hekima hizi bifu za viongozi hawa wawili zilipofikia naona ni vyema Lissu akatulia kwanza kwa sababu haiwezekani Lissu akawa hana roho ya kulipiza kisasi kwa yale yaliyomtokea hasa ukizingatia hadi hivi sasa hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na serikali katika kuwabaini watu waliofanya uovu ule kwa Lissu.
Ni marehemu Nelson Mandela tu ndio aliweza kutoka jela baada ya miaka 27 na kusema hadharani kuwa amewasamehe waliomfunga na kumtesa, hawa ni watu wa aina ya kipekee sana kuwahi kutokea hapa duniani bila shaka Yesu akibaki kuwa ndio kubwa lao.
Tunapenda mabadililiko ya kisiasa lakini sio katika misingi ya visasi, tungependa tupate mabadiliko ambayo yatazaa mazingira chanya kwa watanzania wote na kubaki na amani yetu iliyoasisiwa na mababu zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wa hivi unanifanya nisiendelee kujiita mimi ni mbongoEti tume huru! Kwani tume ndo inapiga kura? Nyie hazimo kabisa! Huyo mhanga utampambanisha na JPM? Hizo hela za kampeni CHADEMA kajengee ofisi
Huu Uzi nao Unafutwa sasa hivii!!
Amekusaliti nini!!Tunamsubiri Msariti wa nchi kama kweli atakuja ndg lisu safari hii tunampopoa kwa mawee
Naomba msaada kwa mtu mwenye uelewa na Tume heru , hivi tume ilipo inamapungufu gan? Na tume huru lazime ipatikane je?View attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
Mwisho wa Magu umefika..mabeberu hawamtaki..akiiba kura yatamkuta ya Koudou Laurent GbagboWewe unaamini hata kama kuna tume huru Chadema anaweza akashinda?
Sasa tunapigania kipi hapo, Tume huru au Uhuru wenyewe?? Hivi hiyo tume huru huchukua siku ngapi kupatikana?? Wiki? Mwezi? Mwaka? Maana nadhani siku zimekwisha hakuna tena muda wa kuipata.Tume huru haziletwi zinapiganiwa .
Mazoea ya kusifu na kuabudu mawe ndiyo yanawafanya wawe na fikra mbilikimo. Msamehe bure!
Pigana basi?Tume huru haziletwi zinapiganiwa .
Uhuru ni neno pana, inategemea unataka kumaanisha nini! Uhuru wa Tanganyika (Tanzania) ulipatikana mwaka 1961. Kabla ya hapo Tanganyika ilitawaliwa kimabavu na wakoloni, ambao ni Wajerumani na baadaye waingereza!Sasa tunapigania kipi hapo, Tume huru au Uhuru wenyewe?? Hivi hiyo tume huru huchukua siku ngapi kupatikana?? Wiki? Mwezi? Mwaka? Maana nadhani siku zimekwisha hakuna tena muda wa kuipata.
Miaka mingine 5 ya mkulu nadhani nchi itakuwa ishanyooka hadi kupinda
Analo jimbo?Aache upuuzi yaani amekubali kusacrifice Jimbo lake? Au chadema wamemuahidi kumlipa marupurupu na mshahara wa mbunge Kama alivopewa Dr slaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa kulipa kisasi angefaa Sana awe rais ili na wengine waonje joto la jiwe.Watu wengi tulidhani Magufuli angekuwa rais bora, kutokana na uchapa kazi na misimamo yake. Sasa hivi nimejifunza, watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa ma Rais, ni watu wenye viburi, kujiamini kuliko pitiliza na wasio penda kusikiliza watu wengine. Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, tabia zao zinafanana sana. Tindu Lisu hafai kuwa Rais.
Kama haipigi kura hofu ya nini Sasa?Eti tume huru! Kwani tume ndo inapiga kura? Nyie hazimo kabisa! Huyo mhanga utampambanisha na JPM? Hizo hela za kampeni CHADEMA kajengee ofisi