Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Abaki huko huko
Ni kwa sababu ya nini unasema hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abaki huko huko
Umeona nini MkuuKuna kitu nimekiona hapa
Sawa kabisa. Uko sahihi Robert. "Ila" tatizo linaanzia pale unapojifanya kama vile kosa halikufanyika au huna uhakika na kosa wakati uliona mpaka matone ya damu yakidondoka. Ndomaana nikasema hivi, tatizo sio wewe Robert ila tatizo ni "Unafiki" unaotufanya tuone mtu fulani hana haki kisa tu mrengo wake. Mungu yupo lakino.Mkuu, wakati mwingine msamaha unaweza kuombwa hata kama hujui aliyefanya kosa, ili mradi kosa limefanyika katika mazingira yanayotuzunguka. Na ndio maana nikasema hayo
Umeandika kifasihi ila umeharibu katika baadhi ya Aya zako. Ukikaa ukatafakari utajua badala ya kutengeneza umeharibu dhima ya andiko lako.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Umeona nini
Nimegundua kwamba ndani ya mioyo ya Watanzania kuna chuki kubwa sana. Hata kufukuza mbu anayemng'ata mwenzako huoni sababu kisa tu sio wewe unangwata. Ila nahisi tutafikaUmeona nini Mkuu
Umeona Leo kwenye news za Kenya Lema na familia yake wamepewa ukimbizi sijui nisema uhifadhi nchini Canada? Wameondoka jana usiku kuelekea CanadaArudi yaishe, hapa lengo sio kuharibu wala nani mbaya lengo ni suluhu
Aje kufanya nini?Ni kwa sababu ya nini unasema hayo?
Sawa kabisa. Uko sahihi Robert. "Ila" tatizo linaanzia pale unapojifanya kama vile kosa halikufanyika au huna uhakika na kosa wakati uliona mpaka matone ya damu yakidondoka. Ndomaana nikasema hivi, tatizo sio wewe Robert ila tatizo ni "Unafiki" unaotufanya tuone mtu fulani hana haki kisa tu mrengo wake. Mungu yupo lakino.
Aje kufanya nini?
Vita vya kuwania teuzi. Em tuone na mkubwa Pasko manjaa atakuja na uzi gani.
Nimegundua kwamba ndani ya mioyo ya Watanzania kuna chuki kubwa sana. Hata kufukuza mbu anayemng'ata mwenzako huoni sababu kisa tu sio wewe unangwata. Ila nahisi tutafika
Mtu ametaka mwenyewe kwenda huko basi abaki huko anakoamini Kuna usalama, atarudi huku aanze kelele zake...hatutaki keleleWewe upo kufanya nini?
Heading ilivyo nadhani were ni sehemu ya washauri Wa Rais, umesema rais yuko tayari kutimiza ahadi yake! Una uhakika? Lakini katika ktk maelezo, unaomba Rais amsamehe Na ampe kazi aliyomuahidi
Unatuchanganya!
Mtu ametaka mwenyewe kwenda huko basi abaki huko anakoamini Kuna usalama, atarudi huku aanze kelele zake...hatutaki kelele
Aje ili mumalizie kile kiporo mlichobakiza kule Dodoma. Lissu anazo akili timamu anajua kuwa kurudi hapa ni sawa na kukumbatia jiko la mkaa lililokolea. Wauaji wakubwa nyie.