Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

Umeandika vyema. Ila umeonaje penye Lissu ujaribu kuweka Magufuli bila kuathiri maana ya maneno yako kwenye aya ya kwanza. Kisha vaa uhusika. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Tanganyika na Zanzibar Robert.
Well said
 
Kelele zake ndio tija kwa nchi, kila jambo linanafasi yake,
Muhimu namna linavyotumika, wewe kama huoni kelele zake, basi utakuwa hujui ishu za siasa na utawala kwa nafasi kama yake
Hizo kelele hazitamfanya Rais amsamehe. Ungemshauri tu arudi nchini mwake na si kusema magufuli amsamehe.. Kama kelele zake ndo siasa zake basi aendelee hivyo hivyo..kusamehewa kwa makelele hayo haitatokea na sidhani kama yeye anaona ana kosa la kusamehewa
 
Wewe sio Rais, hivyo hayo unayosema kuwa hatamsamehe ni kana kwamba unanafasi zifuatazo, aidha wewe ndiye Jpm au wewe ni mke wa Rais. Kama haupo katika nafasi hizo mbili na unajibu majibu hayo, sioni kosa kukuona Punguani kwa kujibu masuala yasiyokuhusu
 
Mimi nimechangia tu mawazo yangu mkuu, sidhani Kama ulitegemea comments zote ziwe zinakusapoti, nimekujibu kawaida tu lkn unanitukana punguani. Haya ndugu..umeshinda.
 
Mimi nimekutukana kwa sababu badala utoe maoni yako, unatoa maoni ya Jpm kuwa hatamsamehe kana kwamba ni wewe.

Ungesema unaomba Jpm asimsamehe wala nisingekutukana
Lakini kunihakikishia hatamsamehe ndio maana nimekuita punguani.

Ni sawa na wale wanaosemaga Mwanasiasa fulani hawezi kufanya hivi au vile, hawezi kupatana na fulani, hawezi kuhamia ccm au chadema, hao wote ni kundi la Punguani.

Mwenye akili husema, unashauri au kumtaka fulani asijiunge na ccm au chadema na sio kutoa uhakika wa mambo ambayo unamsemea mtu. Huo ni upunguani
 
Haya
 
Sasa mimi nina uhakika?
Uhakika nilionao kila mtu anao, ambao ni kuwa Lisu kapigwa Risasi.
Lakini waliompiga ndio siwajui hata yeye mwenyewe hawajui labda kukisia tuu ambapo hata wewe na mimi tunaweza kukisia.
Sasa huoni uhalali wa sentensi hiyo?
 
Nisamehe ikiwa nimekukwaza, ila ndio hivyo usipende kuongelea nafsi ya mtu mwingine alafu ukayaita maoni yako, huo ni upunnguani.

Yaani ni sawa mimi niseme, Dilek kamwe kwenye maisha yake hawezi kunywa pombe kana kwamba mimi ndiye wewe. Siku ukinywa huoni nitakuwa kama mwehu
 
Mtu haoni tija ya mwenzake ndio maana haoni shida kumuua, kumdhulumu, kumfanyia lolote baya, ndio tafsiri yake hapo.

Yeye mwenye tija, atuambie ni ipi tija yake sasa ikiwa haoni ya mwenzake
Falsafa ngumu sana hiyo hasa kwa watu ambao hawaoni ubaya kwenye kile wanachojua kinashibisha matumbo yao.
 
Nisamehe ikiwa nimekukwaza, ila ndio hivyo usipende kuongelea nafsi ya mtu mwingine alafu ukayaita maoni yako, huo ni upunnguani.

Yaani ni sawa mimi niseme, Dilek kamwe kwenye maisha yake hawezi kunywa pombe kana kwamba mimi ndiye wewe. Siku ukinywa huoni nitakuwa kama mwehu
Endelea tu na mada yako mkuu.
 
Falsafa ngumu sana hiyo hasa kwa watu ambao hawaoni ubaya kwenye kile wanachojua kinashibisha matumbo yao.

Kukoseana kupo mkuu, unajua maisha haya yana mambo mengi, kuna watu huwa wepesi kuzungumza na kuhukumu wengine.

Mara fulani kaua, mara mdomo mchafu, mara mlevi au mwizi kumbe kila mmoja hufanya kwa nafasi yake.

Unaweza shangaa yule unayemuona muuaji, au mbaya kama ungekuwa kwenye nafasi yake ungekuwa zaidi yake sema tuu ni kuwa wewe au mimmi nafasi zetu ni za chini hivyo hatufanyi ubaya mkubwa kwa sababu ya ku-limitiwa na nafasi zetu
 
Back
Top Bottom