jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
abaki tu huko huko kwenye nchi yetu hana mchango wowotee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah hapa.Ah wapi
abaki tu huko huko kwenye nchi yetu hana mchango wowotee
Nakushauri ufahamu siasa sio mchezo wa kugawana vyeo. Kuna misingi CHADEMA inayosimamia katiba mpya, tume huru na uhuru wa watu na maendeeo ya watu .Je kwa Tundu kuwa mteue wa Rais kutajibu hoja hizo ? fahamu sio kia mtu ana price tag kama wazee wetu wakina MwaimuNyerere wakengekuwa kama unavyotaka tusingepata uhuru kazi ya ukombozi wa pii ni ngumu niazima tu kujitoa sana .Sijasikia popote CCM inataka maridhiano ya kitaifa
Asirudi kabisa,achilia mbali kupewa uteuzi.atauza nchi yetu yule kiumbe,kwanza anaroho ya usaliti.
Ahadi yake ya kumpiga shaba na kumzika siku hio hio.
Hebu mwambie kwanza Magufuli aache kiburi cha uzima, au unaamini yeye hana?Muhimu ujeuri, ukaidi, na kiburi havitamsaidia yeyote yule.
Hebu mwambie kwanza Magufuli aache kiburi cha uzima, au unaamini yeye hana?
pindi mwenyekiti wako atakaposamehe wapinzani waliokamatwa kwa kesi za kubumbaSawa nitamuambia, wewe utamuambia lini?
Umenena kweli! Liache litangetange huko likichoka tutaliona airport linarudi. ROBERT HERIEL unatoa sifa pahala pasipo! Yule ni mbinafsi sana tuHana tija kwa taifa hili huru. Lissu siyo mzalendo na taifa Lake
matumizi mabaya ya haki yako ya kutoa maoni na kusema utakachoWewe unayesema mwenzako hana tija, wewe unatija ipi kwa taifa hili?
lissu hana mapenzi mema ja taifa hili.. namuona kama beberu JIKE😁😁Umenena kweli! Liache litangetange huko likichoka tutaliona airport linarudi. ROBERT HERIEL unatoa sifa pahala pasipo! Yule ni mbinafsi sana tu