Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

Wewe muuaji alitoa amri ya kuua mara ya pili. Jamaa kachomokea ubalozini
 
Muhimu ujeuri, ukaidi, na kiburi havitamsaidia yeyote yule.
Ujeuri, ukaidi na kiburi chake ni kipi wakati watesi wanamuwinda kufikia hatua ya kuvamia ubalozini na kumkamata? Unadhani wangefanikiwa kumkamatia nyumbani kwake mngesikia kuwa amekamatwa?

Si mpaka sasa mngekua mnaambiwa "juhudi za kuendelea kumtafuta na kujua alipo zinaendelea?" Kama "wanavyoendelea kuwatafuta waliompiga risasi!"
 
Hata Yesu ilibidi kutoroshewa Misri ili kuepushwa na mkono wa Herode
 
Akiwa na Roho wa Mungu anasamehe, kama walivyofanya kina Stefano waliopigwa mawe mpaka kufa, hapo ni ishu ya kiroho zaidi.
Umemtafuta kwa shari umeshindwa sasa unajidai mtakatifu ili ummalize kabisa kama vile Yuda Iskariote alivyojifanya kwa Yesu kumbe ni mwuaji same to you.
 
Lissu hamtegemei huyo bwana wenu ili kuishi. Yeye hivyo vikazi awape wale anaowaokota jalalani ili wasife njaa na waweze kumuabudu vizuri. Lissu anataka utawala wa sheria uzingatiwe, udikteta wa mtu mmoja kuigeuza hii nchi kama mali yake binafsi ukomeshwe. Ujinga wa mtu kujigeuza yeye ndiye katiba uishe. Mwambieni huyo bwana wenu afanye hayo.
 
Arudi ili sasa sumu utumike maana risasi hazikufua dafu. Usimpe stress Mergou maana unajua kwenye uchaguzi hakumshinda Lissu, amempora ushindi na ametupora haki yetu kwenye sanduku la kura.
 
Yupo tiyari timiza ahadi ipi, ?lissu anachotaka kurudia uchaguzi huru na haki, kwa hilo haji, mtakutana nae mbele ya safari
 
mbona lissu yeye yuko kimya wewe unateseka nini? unadhani ni kama hao uchwara mmezoea kununua?
 

Lissu awarded IDU Award for Freedom 2020 - YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…