Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

- Chadema  - ChademaKandaNyasa  - NohateNoFear  - ChademaNiMsingi ( 640 X 640 ).jpg
 
Kama Sekretatiati ya Chama haitalifanya andiko hili kuwa "Somo Mahususi" (Required Reading) linalotakiwa kusomwa ndani ya chama kwa mapana yake; kusambazwa kwa wanachama popote walipo ili walisome na kulielewa, watakuwa hawajatimiza kazi yao mhimu..

Ni andiko linalotakiwa kuchambuliwa kwa makini na kuzifanyia kazi dondoo nyingi zilizodokezwa.

Nadhani Mnyika na timu yake wamejizatiti vyema kuifanya kazi hiyo haraka na kuanza utekelezaji wa mambo mengi yaliyoainishwa ndani yake.

Muda ni mchache sana, kwa hiyo hakuna nafasi kabisa ya kuchelewesha.

Andiko hili ni alama nzuri ya uwezo wa mwandishi. Natumaini mawazo mengi yaliyomo humu ni mawazo yake, tofauti na andiko aliloleta huko nyuma lililoonyesha mengi ya yaliyokuwemo katika bandiko lile yalidandia tu na kupata uwasilishwi kwa mgongo wa jina lake.

Ajaribu kuepuka udandiaji wa kutumikishwa.
Yaani Lisu huyu ninayemfahamu adandie andiko!!? Kama wewe hujalewa shinghwaa, basi utakuwa umevutia bange chooni!!!
 
Chuki yako binafsi kwa Raisi kipenzi cha watanzania Dr John Pombe Magufuli, zitakufanya ushindwe kuongoza CHADEMA kama unavyotegemewa. Mbona bosi wako Mbowe hana chuki hiyo? Mbona katibu mkuu wako mpya hana hiyo chuki binafsi?
Baada ya kutoa salaam zinazotuonyesha matumaini mbeleni tuendako, wewe unatiririsha chuki, itakusaidia nini Bw. Lissu? Jenga chama bila ya kuleta chuki yako binafsi. CHADEMA imara itaimarisha CCM mara mia - shime uache chuki. Nakutakia uongozi bora na pia moyo usio na chuki kwa Raisi wetu.
Kumbuka aliamuru afe. Hata ningekuwa mimi ningemchukia kweli kweli. Ila tumamuombea uhai ili aone Daudi akiinuliwa
 
Unajua wewe kwa sasa huna kazi zaidi ya uzurulaji!

Kwa hiyo una muda wa kuandika hii rubbish na kuwapongeza wana saccos wenzako.

MLIPENI MASHINJI MSHAHARA WAKE KWANZA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uandishi wako ni mrefu sana kaka.
Heri ya krismas pia na mwaka mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uandishi hata akianfika kitabu kizima bado unajikuta unamaliza kusoma, uandishi wenye hekima **** kubwa na mvuto wa hali ya juu.

Tunakutakia krismasi njema kaka TAL na Mungu akuzidishie, tumezipokea kwa furaha salam zako.

Naona uko Uholanzi sio Ubelgiji tena.

Mzee wa international.
 
Msajili nakala ya ujumbe huu ikufikie kwa miaka 27 Chadema ilikuwa inakutumia minutes za uongo kuwa wamefanya chaguzi kuanzia chini kwa mujibu wa Katiba ya Chadema inavyotaka kumbe waongo .Take note.They were forging minutes
Imekuuma??
 
Unasoma herufi kwa herufi, neno kwa neno, sentesi kwa sentesi, aya kwa aya, point kwa point, busara kwa busara N.k hekima imefurika kwenye andiko.
Wajefya njaghamba.
Ninamsoma muhumba uyu nkhoo ane euyanja nangu Mungu niaghubariki inoooooo muna ityu ghughwindye uje ughukoa urika na utruje ireeee😂😂😂😂
 
1. Demokrasia-Utawala bora ni vizuri CDM ikaji Brand eneo hili na wananchi walielewe kwani hapa ndiyo chama dola kinalamba karibu na zero.
2. Upinzani kwa ujumla wao utenge fedha za kutetea maslahi yao mahakamani kwa nguvu zote kwani kuna watu wanafikiri nchi ni yao na wanaweza kufanya lolote watakalo. Wakiburuzwa mahakamani huenda waka nyooka.
3. Imarisheni mbinu za kuwafikia wasio wanachama wenu ikiwa ni pamoja na wale ambao wanataka kuona checks na balances zinajengwa nchi hii. Na wako tayari kuendana na upinzani kama good governance itakuwa ni ajenda ya upinzani.
4. Maendeleo-agenda yenu hapa lazima ifahamike kwa wananchi. Awamu hii imechukua baadhi ya hoja zenu lakini bado kuna mengi na mengine utekelezaji wake unaweza kuboreshwa.
 
Simuulizi mtu Lisu makamu mwenyekiti Chadema Taifa kaandika kuwa kwa miaka 27 Chadema haijawahi fanya chaguzi za chini.Kwa Hali ya kawaida Chadema ilitakiwa kuwa imesha futiwa usajili ndio nikasema msajii a take note yawezekana chadema kwa miaka 27 ilikuwa ikihonga maafisa wa Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa I'll wapokee forged minutes zinazosema chaguzi za chini za Chadema zimefanyika kumbe uongo kwa miaka 27 hazijawahi fanyika kwa mujibu wa Tundu Lisu makamu mwenyekiti wa Chadema taifa
Futa tu ikiwa unauwezo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdm kila mtu anakurupuka na kauli mbiu ya kwake,mmetoka kuzindua juzi tu " NO HATE NO FEAR" Leo tena wendawazimu mwingine kaja na yakwake,Eti umekurupuka na yakwako leo
"Kauli mbiu yetu kuu iwe: Bila Mfumo Huru wa Uchaguzi Hakuna Uchaguzi Mkuu!!!"
TUNAJUA DHAMIRA YAKO WEWE ASI MKUU WA TZ JUU YA TANZANIA NI BORA UENDELEE TU NA UNDERGROUND COVER YA UASI HUKO UGHAIBUNI ILA USIWASHAWISHI WENZIWE WAROGWE KUFANYA HAYO UNAYOTAKA.


......Tuonane milele bandarini kulee......
 
Viongozi, wanachama na wafuasi wa vyama vingine vya siasa, hata ndani ya CCM yenyewe, nao wametishwa au kuumizwa katika kipindi hiki cha miaka minne ya Tanzania ya Magufuli. Ndio kusema hata wale waliotutabiria 'ubatizo wa moto' nao wamebabuliwa na moto huo.

SHETANI wa IKULU hana rafiki.
 
Licha ya jitihada kubwa na kutuumiza sana, Serikali ya Rais Magufuli imeshindwa kuiua CHADEMA. Badala yake, Chama chetu kimekuwa na nguvu kubwa kuliko kipindi kingine chochote katika historia yetu ya miaka 27.

SHETANI hajawahi kumshinda Mungu.

✌🏾✌🏾✌🏾💪🏾💪🏾💪🏾
 
Cdm kila mtu anakurupuka na kauli mbiu ya kwake,mmetoka kuzindua juzi tu " NO HATE NO FEAR" Leo tena wendawazimu mwingine kaja na yakwake,Eti umekurupuka na yakwako leo
"Kauli mbiu yetu kuu iwe: Bila Mfumo Huru wa Uchaguzi Hakuna Uchaguzi Mkuu!!!"
TUNAJUA DHAMIRA YAKO WEWE ASI MKUU WA TZ JUU YA TANZANIA NI BORA UENDELEE TU NA UNDERGROUND COVER YA UASI HUKO UGHAIBUNI ILA USIWASHAWISHI WENZIWE WAROGWE KUFANYA HAYO UNAYOTAKA.


......Tuonane milele bandarini kulee......
Mkuu mwendawazimu anakiongoza chama cha mapichapicha (fupisha ieleweke vizuri)
 
Back
Top Bottom