figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Shetani hajawahi kumshinda MunguMBOWE hawezi kushinda hii kesi, mama alishaitolea hukumu akihojiwa na BBC SWAHILI
Huyo mungu wako atakuwa mungu wa ajabu sana.Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Well NotedThis is beautiful...
Nadhani atakuwa miongoni mwa watoa mada au main speakers pia, right...?
mungu wa ajabu huko JehanamuHuyo mungu wako atakuwa mungu wa ajabu sana.
Huyu Mungu ndio yule yule mliemkejeli wakati w Magufuli aliposema tuombe kwa ajili ya corona? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kwenye post #7 nimemwambia huyo mungu wao atakuwa wa ajabu sana.Kumbe mkibanwa kwenye kona ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu?
Na bado
Mnaofikiri kuwa kwake nje ya mipaka ya Tz, basi Lissu hafuatilii hii kesi ya Mbowe mnajidanganya, Lissu yupo jirani sana na Mbowe ktk hii kesi ni miongoni mwa watu wanaoshauriana kina Kibatala kuhusu masuala mbalimbali katika kukabiliana na hii kesi!
Yawezekana ukawa wewe mwenyewe na wengine unaowawakilisha!wanaofikiria akina nani?...
Mbowe atashinda tu wakaanze upyaMBOWE hawezi kushinda hii kesi, mama alishaitolea hukumu akihojiwa na BBC SWAHILI
Watekaji na watukanaji hawajawahi kuwa na MunguHuyu Mungu ndio yule yule mliemkejeli wakati w Magufuli aliposema tuombe kwa ajili ya corona? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?
Kumbe mkibanwa kwenye kona ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu?
Na bado
Ila magaidi wana Mungu?Watekaji na watukanaji hawajawahi kuwa na Mungu
Hawa wajerumani wanajifanya kimbelembele sana kuwaunga wapinzani wa ccm mkono. Nia ya mabeberu kuvuruga serikali za kimapinduzi na kuweka vibaraka wao kila mahali.Salaam Wakuu
View attachment 2003007
Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika unaoendelea Gaborone, Botswana.
MY TAKE:
Je, Lissu atapita Segerea Kumtembelea Mwenyekiti wake Mbowe na kumpa nondo za Kisheria au ndo anamuacha ateketee huku anamuona?
Aliyesema hakuna Corona, baba yake Corona wala shangazi yake Corona mbona ilimnyakua.Huyu Mungu ndio yule yule mliemkejeli wakati w Magufuli aliposema tuombe kwa ajili ya corona? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?
Kumbe mkibanwa kwenye kona ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu?
Na bado