Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

Huyu Mungu ndio yule yule mliemkejeli wakati w Magufuli aliposema tuombe kwa ajili ya corona? Mkasema Mungu ana kazi nyingi hawezi kusikiliza wajinga?

Kumbe mkibanwa kwenye kona ndio mnakumbuka uwepo wa Mungu?

Na bado
Mungu aling'amua kuwa Magufuli anamkejeli hivyo akaamua kumstaafisha haraka na kumtupa jehanam!
 
Figganiga, huwa nakufikiria kama mtu mwenye busara pamoja na kuwa wewe ni CCM, kumbe I am wrong!
 
View attachment 2003011

Pichani ni Mh Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiteta jambo na Balozi wa Ujerumani nchini Botswana , Katika Mkutano wa Kimataifa unaohusu UCHAGUZI AFRIKA Mjini Gaborone unaofanyika leo tarehe 8/11/1021 , anayeshuhudia mazungumzo hayo pembeni ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar , Salum Mwalimu.

Lissu alikuwa Mgombea Urais wa Chadema 2020 , huku Mwalimu akiwa mgombea mwenza
Makamanda wanakula per diem hawooo! Balozi zote za mabeberu huwaga zina kamfuko kanaitwa "civic duties" kulipia gharana ndogondogo kama hizi just in case akawa kiongozi mwandamizi shenziland kama wanavyotuitaga.
 
Back
Top Bottom